Hiki ndicho kinavutia kuangalia soka la wanawake

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
677
Huwa navutiwa na mambo furani kutizama soka la wanawake.

Baadhi ya mambo hayo ni;

4. Jinsi wavyopiga penalt bila ufundi ile ni potelea pote.
1. Wanavyokabana uwanjani.
2. Wanavyoshangilia.
3. Hawana misuli ya kupiga mpira.

Wewe unapenda nini katika soka hili la akina dada.
 
Mmh mimi bado mdogo sijui mechi za wakubwa zinavyochezwa labda ungeuliza za wasichana ningekuambia
 
Back
Top Bottom