Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

I can see the light at the end of the tunnel, even if it could be some guys with the touch at the middle of the tunnel, will will use that touch to reach the end.
 
Uchambuzi mzuri.mungu aliongoza walioshinda na shetani aliwaongoza wachawi na magamba had wakashndwa
 
Huyo namba 7 aka mzee wa mwitu ndio ameniacha hoi,inatakiwa apewe kazi ya kuwatengeneza kucha akina dada,
hiyo ndio inamfaa.
 
........hata kama kulikuwa na mapungufu lakini angalau CHADEMA wameonyesha ukomavu wa kisiasa ukulinganisha na CCM. Chadema walionekana kama ndio wenye jimbo na CCM ni wapinzani - kama ulifuatilia kwa makini utagundua hilo! Mungu abariki harakati hizi zipanuke zaidi na kuwafikia watanzania wengi zaidi!
 
jamani mbona watu kama rejao,ritz,malaria sugu,faiza fox na wengine wenye mlengo kama wao hawaonekani humu,tatizo nini
 
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni na Kuwadanganya wananchi

2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi) na Ushirikina

4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya nini..? kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali

9.Ben Mkapa..Huyu mmmh.Mungu amsamehe kwani hajui atendalo

10.Mary Nagu=sijui kazi yake ilikuwa nini..,maank wananchi hawakumuelewa kitu alichokuwa anaongea jukwaani sijui ecology,mara economics sijuy zonal..mmmh

Sasa tucheki kikosi kazi cha Chadema..,ambao walikuwa wachache tu

1.Vincent Nyerere..,Huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

2.Mchungaji Msigwa..Huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na Fitna, na Ushirikina (Uchawi)

3.Joseph Mbilinyi ''SUGU''-Kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura CDM.,NA kujua hali halisi za Masela {vijana wa mtaani}

4.Mchungaji Natse-Huyu Pia kazi yake ilkuwa kupambana na Mapepo na Uchawi ukizingatia Nguvu nyingi ya Uchawi ilitumika..,Na pia kumwaga sera kwa wananchi

5.Dk.Slaa,Zitto na Mbowe- Hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua
6.Halima mdee-kazi yake ilikuwa kuhamasisha wanawake kupiga kura na kinadada

7.Godbless lema-kazi yake ilikuwa kuhamasisha vijana kulinda kura zao kwa ujasiri

Mkuu usimsahau kamanda Lwakatare aliyekuwa anaongoza swala la ulinzi na usalama hasa kwenye kulinda kura
 
hivi wakuu, yule kijana kamanda omari aliepotea kimaajabu alipatikana? Nini kilimsibu?
 
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni na Kuwadanganya wananchi

2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi) na Ushirikina

4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya,@hahaha hawa ccm kweli hamna kabsaa, ila ya chadema kilikuwa makini
 
Back
Top Bottom