Hiki Ndicho Kilichosababisha Redbrigade Imthibiti Ludovick Na Hata Gwakisa Mwakasendo

Kabwena

Senior Member
Jun 17, 2013
104
195
Siku Ya 09/12/2013 Kulikuwa Na Kongamano La Bavicha Miaka 52 Ya Uhuru Pale Landmark.

Moja Ya Mambo Yaliyotokea Ni Suala La Ludovick Rwezaura Kudhitiwa Asikimbie Na Gwakisa Kuondolewa Kwa Nguvu.

1. Redbrigade Hawakujua Kama Ni Ludovick Ila Waliona Mtu Anajificha Chooni Na Kisha Kuchomoka Kwa Kasi Akikimbia Kutoka Ukumbini{mtakumbuka Hata Mrushaji Wa Bomu Arusha Alitumia Staili Hii}, Ndipo Vijana Wa Ulinzi Bila Kuchelea Wakamkimbiza Na Kumkamata Kisha Alipojieleza Wakamwachia Na Wala Hakuibiwa Kama Alivyodanganya.

2. Gwakisa Mwakasendo Alihisiwa Kutokua 'Mtu Mzuri Kwani Aliingia Getini Na Kisha Kujibanza Ukutani Alipomuona Lema Anakuja Upande Wake{nje Ya Ukumbi} Kisaha Akajibanza Tena Ukutani Alipomuona John Heche, Alaf Akawauliza Watu Bila Kujua Kuwa Ni Redbrigade 'henry Kilewo Yuko Wapi? Aliposhikwa Mkono Apelekwe Alipo Kilewo Akakataa Na Kuanza Kutoa Lugha Chafu{sina Uhakika Kama Alikuwa Amelewa} Ndipo Kwa Haraka Sana Redbrigade Chini Ya Mwanadada Mmoja Imara Na Kiongozi Wa Redbrigade Kawe Wakamuondosha Nje.
 
Kabwena

Senior Member
Jun 17, 2013
104
195
** Katika Akili Ya Kawaida Achana Na Mbinu Za Ulinzi Haiwezekani Umuachie Mtu Anayetoka Ndani Kwako Anakimbia Bila Kujua Kinachomkimbiza, Na Lazima Tujiulize Ludovick Hakujua Kuwa Heche Atakuwepo Pale? Iweje Aseme Alikuwa Anakimbia Kwani Heche Alipewa Taarifa Za Yeye{ludovick} Kuwepo Sehemu Ile?
redbrigade Ilifanya Ustaarabu Sana Kumwachia Mtu Ambaye Alikuwa Na Kila Dalili Za Kutokuwa Mwema Kwa Kutoka Nduki Katika Eneo Aliloenda Kwa Hiari Yake.
** Pia Tunamuhasa Kijana Gwakisa Kuwa Asidhani Kila Mtu Anamjua Yeye Na Atavumilia Vituko Vyake, Vijana Wa Ulinzi Hawamjui Kuwa Ni Mwanachama Wa Chama Na Mpambanaji Hivyo Lazima Awe Mpole Na Ajieleze Vizuri Anapoulizwa Kitu..
m4c Daima, Kurudi Nyuma Mwiko.
 
Unyanga

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
402
225
Gwakisa huyu aliyezunguka na Dr. Slaa nchi nzima kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 leo anaonekana takataka kweli kazi ipo
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Gwakisa huyu aliyezunguka na dr. Slaa nchi nzima kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 leo anaonekana takataka kweli kazi ipo

Unyanga hahaha tuweke siasa pembeni huyu gwakisa namfaamu in personal hana akili nzuri, ni mgomvi sana, anapenda visasi, he is capable of doin any thing, he is violent. Sijawahi kumkubali. Sasahivi karudia chuo, ni mwaka wa pili sasa, and he was supposed to complete his studies toka 2007
 
Last edited by a moderator:

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
498
250
Unyanga hahaha tuweke siasa pembeni huyu gwakisa namfaamu in personal hana akili nzuri, ni mgomvi sana, anapenda visasi, he is capable of doin any thing, he is violent. Sijawahi kumkubali. Sasahivi karudia chuo, ni mwaka wa pili sasa, and he was supposed to complete his studies toka 2007

Kwa upande wa KURUDIA CHUO hiyo ni jadi ya BAVICHA,hata chuo fulani kipo mjini sana pale Dar,kuna kijana yy ni kurudia tu miaka,mpaka wadog zake wanampita,last time aligombea urais,ila GPA ikambana,japo ana ushawishi mkubwa sana kwa vijana wa hicho chu
 
Last edited by a moderator:

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Kwa upande wa KURUDIA CHUO hiyo ni jadi ya BAVICHA,hata chuo fulani kipo mjini sana pale Dar,kuna kijana yy ni kurudia tu miaka,mpaka wadog zake wanampita,last time aligombea urais,ila GPA ikambana,japo ana ushawishi mkubwa sana kwa vijana wa hicho chu

Hahaha hivi kwanin?
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,935
2,000
Siku Ya 09/12/2013 Kulikuwa Na Kongamano La Bavicha Miaka 52 Ya Uhuru Pale Landmark
moja Ya Mambo Yaliyotokea Ni Suala La Ludovick Rwezaura Kudhitiwa Asikimbie Na Gwakisa Kuondolewa Kwa Nguvu.
1. Redbrigade Hawakujua Kama Ni Ludovick Ila Waliona Mtu Anajificha Chooni Na Kisha Kuchomoka Kwa Kasi Akikimbia Kutoka Ukumbini{mtakumbuka Hata Mrushaji Wa Bomu Arusha Alitumia Staili Hii}, Ndipo Vijana Wa Ulinzi Bila Kuchelea Wakamkimbiza Na Kumkamata Kisha Alipojieleza Wakamwachia Na Wala Hakuibiwa Kama Alivyodanganya.
2. Gwakisa Mwakasendo Alihisiwa Kutokua 'Mtu Mzuri Kwani Aliingia Getini Na Kisha Kujibanza Ukutani Alipomuona Lema Anakuja Upande Wake{nje Ya Ukumbi} Kisaha Akajibanza Tena Ukutani Alipomuona John Heche, Alaf Akawauliza Watu Bila Kujua Kuwa Ni Redbrigade 'henry Kilewo Yuko Wapi? Aliposhikwa Mkono Apelekwe Alipo Kilewo Akakataa Na Kuanza Kutoa Lugha Chafu{sina Uhakika Kama Alikuwa Amelewa} Ndipo Kwa Haraka Sana Redbrigade Chini Ya Mwanadada Mmoja Imara Na Kiongozi Wa Redbrigade Kawe Wakamuondosha Nje.

Bavicha Mnapenda senema za kininja eti "Akajibanza alipomuona Lema" teh teh teh...
 
berenya

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
330
0
Kwani kuzunguka nchi nzima ni direct ticket ya kufanya lolote.Hivi watanzania mbona tuna akili nyembamba kiasi hiki?
utetezi wake ni kama yule aliyejiunga na CDM toka akiwa na miaka 16..SO anajiona kama kazaliwa nayo kwahiyo asiguswe!!
 
Njaare

JF-Expert Member
Sep 26, 2010
1,082
1,195
Kwani kuzunguka nchi nzima ni direct ticket ya kufanya lolote.Hivi watanzania mbona tuna akili nyembamba kiasi hiki?

Kuna majinga yakishajiona kuwa yanafahamiana na kiongozi mkuu huwa yanaamua kufanya mambo kwa dharau kwa kuhisi kuwa yatalindwa,
 
ACCER

Member
Nov 3, 2013
47
0
Siku Ya 09/12/2013 Kulikuwa Na Kongamano La Bavicha Miaka 52 Ya Uhuru Pale Landmark.

Moja Ya Mambo Yaliyotokea Ni Suala La Ludovick Rwezaura Kudhitiwa Asikimbie Na Gwakisa Kuondolewa Kwa Nguvu.

1. Redbrigade Hawakujua Kama Ni Ludovick Ila Waliona Mtu Anajificha Chooni Na Kisha Kuchomoka Kwa Kasi Akikimbia Kutoka Ukumbini{mtakumbuka Hata Mrushaji Wa Bomu Arusha Alitumia Staili Hii}, Ndipo Vijana Wa Ulinzi Bila Kuchelea Wakamkimbiza Na Kumkamata Kisha Alipojieleza Wakamwachia Na Wala Hakuibiwa Kama Alivyodanganya.

2. Gwakisa Mwakasendo Alihisiwa Kutokua 'Mtu Mzuri Kwani Aliingia Getini Na Kisha Kujibanza Ukutani Alipomuona Lema Anakuja Upande Wake{nje Ya Ukumbi} Kisaha Akajibanza Tena Ukutani Alipomuona John Heche, Alaf Akawauliza Watu Bila Kujua Kuwa Ni Redbrigade 'henry Kilewo Yuko Wapi? Aliposhikwa Mkono Apelekwe Alipo Kilewo Akakataa Na Kuanza Kutoa Lugha Chafu{sina Uhakika Kama Alikuwa Amelewa} Ndipo Kwa Haraka Sana Redbrigade Chini Ya Mwanadada Mmoja Imara Na Kiongozi Wa Redbrigade Kawe Wakamuondosha Nje.

Kwa propaganda tu tuko vizuri aiseee,
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,915
2,000
kwanini hawakumvunja hata taya ili iwe ukumbusho kwake,..

Inabidi amshukuru ''MUNGU''
 
Mtamile

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
2,830
1,750
mtu mmoja humu alisema ili taasisi yoyote ikidhi sifa za kuitwa taasisi lazima iwe na ofisi akauliza ofisi za bavicha taifa ziko wapi kama kuna mwenye jibu aweke hapa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom