Hiki ndicho kikosi changu bora cha kwanza cha members wenye mvuto mkubwa hapa jamiiforums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,852
Wapo wengi sana ila kiubora na kiumuhimu kabisa kwangu mimi hawana ndiyo vinara:

Kikosi kinachoanza kwa mvuto mkubwa

Mshana Jr
britanicca
Zero IQ
Bujibuji
Matola
Salary Slip
GENTAMYCINE
Sky Eclat
Ghazwat
Bila bila
Madimba jr

Kikosi cha akiba kimvuto mkubwa:

warumi
mrangi
Khantwe
King Kong III
Quinine
Erythrocyte
Jambazi

Sababu za kukitaja hiki kikosi ni kwamba kwanza hata kama wewe bado hujawa member hapa lakini ukiwa unasoma tu yale wanayoyaandika utavutiwa nao. Pia ni wachangamfu wakubwa kiasi kwamba unaweza ukawa una msongo wako wa mawazo kutokana na harakati zako lakini ukiwasoma tu hawa amani ya moyo inakuja. Na mwisho kabisa ni watu ambao ndani ya michango yao utagundua ya kwamba wanajua mambo mengi halafu hata uwezo wao wa kuchambua mambo mbalimbali ni mkubwa na ndiyo wao wameweza hata kunishawishi niwe memba rasmi hapa.

Asanteni.
 
Niko na mbio kama husein Bolt
 
Mara nyingi binadamu tunafanya vitu bila kujua kuwa vinapokelewa na wenzetu kwa mtazamo chanya. Mara zote huwa sijui kama ninayoanzisha au kuchangia humu JF kuna watu yanawagusa na kwa lugha ya kiroho "Yanawabariki". Nikushukuru mleta mada kwa uchambuzi wako na hata usingenitaja bado ningefarijika kwa hao uliowataja pamoja nami.
CC: GENTAMYCINE.
 
Wapo wengi sana ila kiubora na kiumuhimu kabisa kwangu mimi hawana ndiyo vinara:

Kikosi kinachoanza kwa mvuto mkubwa

Mshana Jr
britanicca
Zero IQ
Bujibuji
Matola
Salary Slip
GENTAMYCINE
Sky Eclat
Ghazwat
Bila bila
Madimba jr

Kikosi cha akiba kimvuto mkubwa:

warumi
mrangi
Khantwe
King Kong III
Quinine
Erythrocyte
Jambazi

Sababu za kukitaja hiki kikosi ni kwamba kwanza hata kama wewe bado hujawa member hapa lakini ukiwa unasoma tu yale wanayoyaandika utavutiwa nao. Pia ni wachangamfu wakubwa kiasi kwamba unaweza ukawa una msongo wako wa mawazo kutokana na harakati zako lakini ukiwasoma tu hawa amani ya moyo inakuja. Na mwisho kabisa ni watu ambao ndani ya michango yao utagundua ya kwamba wanajua mambo mengi halafu hata uwezo wao wa kuchambua mambo mbalimbali ni mkubwa na ndiyo wao wameweza hata kunishawishi niwe memba rasmi hapa.

Asanteni.
Cag naingia kazini report ya mmoja baada ya inginee nafuatiliaaaa
 
Back
Top Bottom