Hiki ndicho kiatu cha bei million 800 za kitanzania au dolla za marekani 500,000

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
1055827_most_expensive_shoe_74nvg_jpgb801fdf8fd85f7a1e73b93f3795f0c0e


Kathryn Wilson, New Zealand’s most successful footwear designer, has teamed up with Sarah Hutchings of Orsini Fine Jewellery to create the world’s most expensive shoe for $500,000. Known for her passion for fine jewellery, Sarah continues her love for creating most exquisite and hand-crafted jewellery by giving Kathryn’s shoe a bespoke diamond makeover. The single classic court-heeled shoe features more than half a million dollars’ worth of white diamonds to make it a one-of-a-kind work of art. The process involved hours of surgeon-like precision using tweezers and a special adhesive.
 
Watalaaniwa hawa na siku ya mwisho ni kiama...yaani sisi tunakosa hata ugali dona Sh.500 ya kitanzania wao....MUNGU yupo
 
Sijaona uzuri wake kwa kweli....labda kwa hayo mavitu yaliyotengenezewa ndio gharama..

Bora changu cha dola 70 kizuri na chanipendeza....:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Watalaaniwa hawa na siku ya mwisho ni kiama...yaani sisi tunakosa hata ugali dona Sh.500 ya kitanzania wao....MUNGU yupo

hakuna cha kulaaniwa ata biblia kupitia mtume paul inasema hasiyefanya kazi na asile hivo juhudi yako ndio inatakiwa yesu alishasema gonga hodi utafunguliwa,piga juhudi ule matunda ya dunia,kalaghabao
 
Sijakielewa... Mbona hata guccini kipo! Chai!!!!
Chakawaida yani labda uvae na label
 
I promise you, hakuna atakae0-notice labda uvae sketi fupi sana. Watu wanatembea wakiangalia sakafuni?

ata ukivaa kikuku watu wananotice,au siku vaa kandambili nenda kazini uniambie kwamba kuanzia njiani watu hawatogundua umevaa kandambili
 
I promise you, hakuna atakae0-notice labda uvae sketi fupi sana. Watu wanatembea wakiangalia sakafuni?

Achilia mbali ambao hata hawatagundua kama kimetengenezwa kwa mali ghafi ya almasi, labda kama kina spika pia.....
 
Back
Top Bottom