Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.
Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi sikuwa na hizo mimi.
Mpaka nafika form four nilikuwa sijui cha A, B, C, D au form. Nilikuwa sijui kabisa. Mimi nilikuwa najua marks tu 90, 95 ,mia hizo ndio zilikuwa zangu.
Sasa wenzetu tukiwaambia msome, hamtaki mnashinda na vikaratasi tu mnabet. Endeleeni kubet, betini kwa bidii ili mshinde Jackpot.