Hiki kitu kwa kweli kinanitatiza. Hebu tusaidiane.

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
kwa mimi navyojua mungu kaumba dunia na vyote vilivyomo ndani yake. Sasa hizi sayari nyngine kama mars,jupiter na pluto kaumba nani? Na zenyewe zina mungu wao? Au mungu wetu nd'o kaziumba na hizo pia.
 
Rudi kwenye vitabu vitakatifu utapata majibu yote, Mungu aliumba Ulimwengu, sasa kama unajua Ulimwengu ni nini basi na jibu utapata.
 
kaumba Mungu, ingawa hajazungumzia saaana hilo ktk vitabu,sijui sababu yake nini
 
haya mambo sio ya mzaha! Halafu hilo jina mnaliandika kwa herefi ndogo. Hebu jaribuni kuwa na heshima kwa Muumba wenu!
 
ulimwengu na kila kilichomo kimeumbwa na Yeye!
Na mwanadamu hawezi kujua kila kitu isipokua Yeye kwan mwanadamu ni dhaifu.
 
Soma mwanzo1:16.na nyota pia.kabla ya kukua kwa sayansi anga(astronomy).sayari zote zilijulikana kama ni nyota.hiyo MUNGU,aliumba vyote.
 
Back
Top Bottom