Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

jaman
kwenye sredi nimeeleza nani aliyeanza ni kivipi nilifanya kosa la to imitate.Kosa ni imitation za kuwa nipo na BF kumbe dada mtu

usizunguke zunguke hapa. inamaana ungekuwa na shemeji yako wa kiume akasema tu imitate, ungeingia hiyo imitation?. halafu huoni aibu kusema aliyeanza ni nani. inanikumbusha kitabu cha mwanzo, wakati wa anguko la mwanadamu- eti yeye ndiye alianza
 
Smile ushauri ndio huo...kuna malesbo na magay wengi tu wanaishi maisha yao yote wakishindana na hisia zao za kimwili kwa sababu wanaangalia jamii inayowazunguka in maadili gani na itawachukuliaje. sasa Marytina aamue kuishi kinafiki na kudeny hisia zake..au atii hisia zake!
noo wasichana wengi huwa wanafanya kwa sababu ya circumtance,mfano yupo shule mwili unatamani lakini anaogopa kupoteza bikra,kupata mimba,kuwa na mpenzi cause wazazi au wenzake hawana.so hapo anapiga gemu weeeeeeee.ila muda ukifika kamaliza shule vikwazo vinaisha anakuwa tu wa kawaida
 
my dear, na hii niliiona boarding kwa sana, na mabifu ya kunyang'anyana kabisa watu wanagombea basha! lakini trust me, huwa wana-pretend kama alivyosema riwa hapo juu. kuna mmoja tulikuwa same class, alikuja kuolewa marekani, after a year wameachana. we ar still friends, u cant tell kama ana kitabia hicho na hamuongelei mumewe hata siku moja. recently ameanza kuhang na mdada waliekuwa wanasagana tukiwa o-level, na huyo mdada ni single mother. tuna urafiki wa kistaarabu we never pry on each other's business, lakini for them going camping together ni kawaida. nikipata invitation i politely decline, maisha yanaendelea



kwa kuwa dito aliuwa na akashinda kesi , na wengine wengi waliua wakashinda kesi so martyna angeua mngemwambia hilo ni jambo la kawaida ktk jamii???. msijidanganye na sayansi uchwara hapa. siyo kila hisia ni ya kutiii tu ndo maana mwanadamu amepewa utashi, na ni wajibu wa mwanadamu kupambana na dhamira mbaya zote.
uliyo yasema ni kweli yametokea, lakini hii haimpi ticket maryna kutenda hayo
 
ok wewe ndiye star wa jukwaa la science and technology.
wapi kwenye hii sredi nilipomegwa???????

si umemegwa na huyo wifi yako, sijui linafikiria sifa? au ndo unajitangaza kijanjajanja? matangazo bila pesa, weka namba yako ya simu basi tuje tukumengenyue vizuri.
 
Kuna mahali naomba udadanue kidogo ........tukatimiza vifungu vyote..mhhhhh!!!!!! unamaanisha nini..kusagana kisha mkatimiza vifungu vyote? nadhani ndi maana watu wanaamini ni shemeji si wifi...........ama badu ...........akapuliza pafyumu YA KAKA YAKE..(Japo kiingereza sanifu ni cologne maana pafyum ni zile za kike) ..dadavua na hapa maana pana swaaaaaali KUBWAAAA
 
Back
Top Bottom