Hiki kipindi cha kampeni picha niliyoipenda ni hii hapa

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
article-1272455-096D7F21000005DC-511_634x386.jpg
David and Samantha Cameron snuggle together on the Tory battle bus
 
Dah safi sana inawezekana hata hii amani yetu tuliyo nayo tukawa na rais anayetembea kwa kutumia mabasi kama ya Posta G/Mboto. Si tunajidai tuna amani, mbona JK anashindwa hata kutoka pale Magogoni kwenda airport kwa DCM la G/Mboto.

Anyway, ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wetu.
 
Haya ni mabasi special for campaign..si yale ya usafiri wa kila siku. I remember Obama and Hillary used to have something similar which is 5 star itself inside.

Habari ndio hiyo
 
Back
Top Bottom