Hiki Kiingereza ni cha dunia hii au ni cha Mars?

Kiingereza kizuri hiki kwa ajili ya mapambo na madaha.

Lakini hakibebi maudhui yoyote yenye tija!!

I like the way it sounds.... hizo Latin maxim zina ladha tamu.
 
Wakati wa chuo alikuwepo "PUNCH" mzee wa incognito. Lugha kama zinafanana na hii:D
Usinikumbushe kipigo kilichotokea usiku ule baada ya Mtu yule kusema ''Mtoto akiunyea Mkono usiukate'' Kipigo kile ndiyo ulikuwa Mwisho wa PUNCH!
 
Ndugu hicho kiingereza ni kile cha kumeza vocablary na kupachika pachika katika sentence,mambo hayo tifanya o'level wakt wa debate....
 
English ya ukoo Wa Kiranga na baba mkubwa wake anaitwa Lumumba Wa Kenya huko...
 
Aliyeandika hiyo ni lawyer na ni lugha ya kawaida kabisa kwa lawyers.@Duma,
 
Hata waliozaliwa nacho kutoka tumboni hawatemi. Cha hivyo. Wanaona ni upotezaji wa muda kufikisha ujumbe wa maneno matano kwa kuungaunga maneno mia ili kufikisha jambo ambalo lingefikishwa kwa maneno matano tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom