Hiki kidude cha PM tunakielewaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki kidude cha PM tunakielewaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Husninyo, Feb 6, 2011.

 1. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Jamani mi napatwa na mashaka na kadri siku zinavyoenda ndio mashaka yanazidi kuhusu mambo ya PM.
  research ndogo niliyofanya nimegundua kuwa watu tunaogopa kutumiana PM kwa hofu ya
  1 kutojibiwa
  2 majibu machafu
  3 kuonekana tunatongoza (hii kwa pande zote mbili maana hadi wanawake siku hizi tunatongoza).
  Binafsi nishatuma pms nyingi na nimepokea nyingi ila sijamfikiria vibaya aliyenitumia ila
  Sijui niliowatumia wao wamechukuliaje hilo.
  Naombeni kujua mawazo yenu juu ya hili suala. Na kama hatuogopi PM kwanini mambo mengine binafsi huwa tunachati katikati ya sredi za watu?
  Ni hayo tu.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wengi kuanza kutuma pm tunapata kigugumizi kwa sababu hatujuani jinsia, majina na tupo wapi! Kwa hiyo hujui unamtumia nani!
   
 3. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nipe kirefu cha PM,
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hebu jaribu kumtumia PM mod unataka ban, ili tusibitishe madai yako kama zinajibiwa au hazijibiwi?
   
 5. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Private Message
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mbona kwangu huwa hutumi, nilidhani labda hujui kutuma...?,

  I thought we were friends.......:sad: :disapointed:
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mtumie kabisa pm ili aelewe vizuri maana yake.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  nakutumia zinafeli. Sijui umeniingiza kwenye ignore list. Lol!
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  wacha usanii, ntakufelisha ujue.
   
 10. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Huu ndio ule uongo ambao akili inakwambia unadanganywa lakini moyo kwa kupenda unajipa moyo labda ni ukweli..
   
 11. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Husninyo.... sijui umefikiria nini mpaka kutuma hii thread..... Kwangu mimi inakuwa ngumu sana kuanza kumtumia mtu PM wakati sijawahi kumuona wala kuongea nae hata kwa simu in short sijui kama kweli ni mwanamke, unaweza kufikiri kuwa ni mwanamke kumbe ni kidume, unaweza kumPM mtu halafu kesho anakuanika jamvini sijui utakimbilia wapi :coffee:.... Pili mnaweza kuanza vizuri siku ya kukutana ukimuona tu, unajifanya sio wewe ha ha haaaaa..... Ila in short kutongozana bila hata kuonana ngumu sana labda uwe utani, si kwamba haiwezekani nisieleweka vibaya hapa!!!!
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  jamani mwalimu...
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  ha ha ha!
  Mapenzi upofu eeh! Mmh!
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  si nimekwambia u speak in english? nimekumiss denti mtiifu. nalog out nikilejea tunaanza darasa. leo tutasomeshana kwa kutumia marker pen, usikuje na kichongeo.
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hii kitu ipo babu. Unakuta mtu anamwambia mwenzie am pm wakati hata yeye ana uwezo wa kuanza kum pm.
  Kuhusu suala la kujuana wapo watu wanajuana lakini bado wanajadili mambo yao mengine ambayo kwa namna moja au nyingine hatuna sababu ya kuyajua.
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  haya mwalimu uwahi kurudi kabla sijachoka.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Karibu jukwaani. Private Message!
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi PM box langu empty kabisa..na nnaogopa kuanza mimi nisije nikaonekana mapepe!!
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  mi mwenyewe nimeanza kuogopa.
  Ila pm sio lazima yaongelewe malavi davi jamani.
  Unaweza kumuuliza mtu swali moja kwa moja kutokana post yake maana sio rahisi kusoma posts zote ila pm ni rahisi kuiona.
  Yapo mengi labda kama mods wameweka pm kwa lengo lileeee.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Feb 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa nikimuuliza mtu habari inayohusu post yake PM sindo atasema najilengesha?Ngoja nitafute ujasiri wa kujaribu..ntaanza na Kloro..nxt Husninyo..majibu yakiwa mazuri naendelea na wengine!
   
Loading...