Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maguli hajaitwa kumbe
kwel kk amekurupuka sanaManyika junior! Haka kajamaa uwezo wake wa kawaida sana! Wapo walinda mlango wengi wazuri ambao wangeweza kumsaidia Aishi endapo atakuwa majeruhi
Kwa hiyo hadithi yako inafundisha nini mkuuNimehesabu hapo kuna wachezaji 21.
Katika hao 21 Wachezaji Waislamu wako 18.
Watatu tu waliobaki ndio Manaswara.
Daaah... Waislamu wako juu aisee...