Hiki chuo ni cha ngapi kwa ubora?

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,415
859
Siku chache zilizopita nimeona rank za vyuo,

kwanza zilianza zile za Africa kwa ujumla, baadae nimeona Tanzania, baadhi ya vyuo vilivyotajwa kwa ubora n.
UDSM
UDOM
MZUMBE
IFM

Mm nasoma St.John University of Tanzania, je hiki ni cha ngapi kwa Ubora? Au kanyaboya
 

Attachments

  • logo sjut_001_001.jpg
    logo sjut_001_001.jpg
    4.7 KB · Views: 1,154
Ubora wa kuangalia hapo ni wewe mwenyewe,
whatever college ambacho utasoma, kama hauko sawa upstairs utakwenda na maji tu.
Kwa hiyo mi nashauri hata usijali kuhusu hilo sana,k maana kwa mfano wakisema ni cha mwisho kwa ubora itakuwa na maana gani kwako?
 
.............wasiojua kitu huzungumzia kuhusu majengo na majina ya vyuo lakini waerevu hutazama kitu gani kitamsaidia katika maisha yake kutoka katika chuo husika. Komaa na hicho chuo ulicho ndugu yangu achana na majina ya vyuo.
 
Endangered, Majorbuyoya, Mzee thanks alot, sio kila mtu anaweza ku-argue namna hiyo.

Kikubwa walimu, library na vitab.
 
Hapo Kwenye Udom na Mzumbe ?!!?!?!???!!!!

umeona eee?
Hata mie nimewashtukia mzumbe mmhhh miaka ile bana na hivo vimasters vyao vya 3million ndo wanazidi kupoteza muelekeo
 
Piga shule mkuu,hyo rank isikukatishe tamaa,content babu ndo ina matter ingawa watu hawataki kuambiwa kuwa anapigia kwenye vyuo vya Kata o mara wengne vyuo vya CCM o vyuo vya yebhoyebho n.k.HYO KASUMBA HAITAISHA.Cunajua hata Maprof.wenyewe wanajifagilia kupigia kwenye vyuo vya ukweli.Mf.Havard,Oxford n.k.We piga unakopigia upate kazi Maisha yaende,likija suala la kukosa kazi kwa sabbu umemalizia Chuo cha kata ndo ishu,
 
Miaka ya nyuma katika shule za sekondari elimu bora ilikuwa inatolewa na shule za serikari, mfano elboru, mzumbe, tabora boyz.... lakini sasa ni tofauti.... utasikia st. mery, st fransisy, faiza, kifungiro, st methew.... Hata kwenye vyuo vikuu tunaelekea huko, serikali imesha geuza elimu kuwa biashara. walala hoi hawatoweza kupta elimu bora maana huko ada zake zipo juu,,... ngoja tusubiri.
 
Usiangalie ubora wa chuo angalia wewe bnafsi unatoka na ubora gani je ni people with education or educated people.Usidatishwe na majina makubwa angalia unapata nini kwenye chuo chako siunajua mkubwa hakombi mboga hata kama akikomba wanasema ameipenda mboga.vyuo vingi vinabebwa na majina tu lakini product zao ni nothing
 
Nina wasiwasi na UDOM kuwa juu ya Mzumbe.
Ni sifa zipi zilitumika kuwashindanisha..
Mara nyingi sifa zinazotumika ni kama zifuatazo:
Number of publication
Number sited documents
Number of reseach done
Quality and employability of the students
Na nyingine nyingi..
Sasa sioni ni kwanini UDOM iwe juu ya Mzumbe, ama siasa ndio inetumika hapa?
 
Siku chache zilizopita nimeona rank za vyuo,

kwanza zilianza zile za Africa kwa ujumla, baadae nimeona Tanzania, baadhi ya vyuo vilivyotajwa kwa ubora n.
UDSM
UDOM
MZUMBE
IFM

Mm nasoma St.John University of Tanzania, je hiki ni cha ngapi kwa Ubora? Au kanyaboya

Ubora katika nini? au una maanisha ubora wa stashahada za pichu!!!
 
kuhusu udom na mzumbee sahau kuwa katika rank ya africaa tanzaniaa ni vyuo 2 tu vilivyoo jikakamua sua na udsm fungua best university of africa
 
Hapo Kwenye Udom na Mzumbe ?!!?!?!???!!!!
Ifike mahali tuache ushabiki, ukichangia maada uwe na hoja za kujitetea.
Kua bora Africa lazima utambue ni katika nyanja ipi, machapisho na tafiti au mchango wa taaluma flani katika Taifa. Hao wanaovipa hadhi ya vyuo vikuu sio wajinga, ipo tume yakimataifa inayokagua mitaala ya vyuo vikuu Uswiss, Chuo kama Mzumbe kinafanya collaboration na student exchange program na vyuo vyenye hadhi kimataifa kama Bradford na Strachelydes wao sio wajinga kama ushabiki ulivyo hapa. Kwani nani alijua Massachusetts Institute of Technology (MIT) imeshika number TANO (5) kwa ubora duniani na sio chuo kikuu ni Taasisi, endelea kushabikia vyuo vikuu na majengo tu!
cheki hiyo link http://www.timeshighereducation.co.uk/world-university-rankings/2012-13/world-ranking
 
chuo chako ni kizuri, ila usije ukakilinganisha na sua, udsm, mzumbe, out, hkairuki, udom n.k. lazima heshima iwepo.
 
pale udsm karibia wote ni div.1 na 2 chache, hapo st.john div. 3 za 2princips zimejaa, jamani heshima kitu cha bure.
 
...........kwenye thread za aina hii pia tunapata nafasi ya kujua ni chuo gani kinazalisha wanafunzi wenye upeo mdogo zaidi kiasi cha kushindwa kufahamu nini kimewapeleka vyuoni.


Tumuombe Mungu atupe akili na upeo wa kutambua nini tunahitaji tuendapo vyuoni, nina shaka wengi wetu japokuwa wamepitia pitia vyuoni lakini bado haijawasaidia na wanaendelea kuwa watumwa wa kiakili.
 
Back
Top Bottom