Hiki chuo jamani mmh!

Disminder girl

Senior Member
Nov 26, 2012
156
26
mamboz kwa wana jf wote jaman jaman hv wote mlio soma ST.JOHN'S UNIVERSITY mmesha wah kupata usumbufu km niliopt me yan matokeo ni yangu lakn kupata 2 hayo matokeo yan transcript inachukua karibia mwez mzm hv na vyuo vingine vipo hv?
 
watanzania tuache kulaumu kila kitu issue ya transcrip ina hitaji umakini sana, vilevile vyuo vyetu vingi vina idadi kubwa ya wanafunzi,hivyo suala kuchukua muda hatuwezi kuzuia
 
Hata Chuo cha Ustawi wa Jamii KIJITONYAMA ni hivyo hivyo yani Provisional results ni miezi mitatu sasa hatujapa, ukija Transcript ni ndoto na Vyeti ndiyo kabisa sijui ni mpaka mwaka gani. SHAME OF YOU ISW!
 
Back
Top Bottom