Hiki Chama Tumekipigania Kwa Nguvu Zote!

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,544
12,658
FB_IMG_1544603282767.jpg
 
lk

hiki chama kitawanyoosha hata nyie mliokipigania, unasoma namba na wewe (nnauye)
Ni suala la muda mkuu.Nape bado kijana still have bright future chamani.Huyu Jiwe atapita na makandokando yake.Kina Nape wataendelea kuwepo.Lakini naamini baada ya Jiwe kupitia watakuwa wamejifunza jambo kubwa sana.Wataelewa kwamba Tanzania ni ya watu wote ,pamoja na wapinzani,sio ya CCM peke yake.Kiburi si maungwana..
 
Back
Top Bottom