Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,794
unachukua fish fillets au meat fillets unazikaanga na mafuta kidogo na vinegar kwa mbali kisha unapasulia yai lisilovurugwa juu yake unaacha kwenye moto kama dak 5 kisha unaopoa! unakuwa na kachumbari ya fresh veg pembeni na glass ya sweetwine!