Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,271
- 115,189
Ooh!! Naona na kimbunga nacho kimeingilia kati safari za baharini hamna.Haswaaa. Kesho nlikuwa nivune ndugu yangu halafu usafiri na meli uje Zenji. Tatizo mvua kubwa naskia huko Tanga.
Unaifungia wapi??
Mie naifungia kwa Kunenge.