Hiii ni aibu kubwaa kwa Dodoma kuwa mji mkuuu

El'son

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
380
324
Ulishwahi sikia wapi mji mkuu katika nchi hauna redio au TV staition inayoonekana na kusikia nchi nzimaaa. Dewji amjitahidi leo hii singida kuna television ambayo inaweza kuonekana kitaifa au kimataifaaa, halafu tunasema dodoma ni mji mkuu tanzaniaaa. Tuache masiharaaa

Dodoma no mji mkuu na ulipaswa kuwa na sehemu ya vitu ambavyooo vitarndeleza kuutangaza kuwa mji mkuu kimataifaaa. Mfano kuwa television na redio ambazo zinaweza kitangaza matangazo yake moja kwa moja kutoka dodoma.
Vyombo vya habari vinaweza kuweleza mambo kadha wa kadha ambavyo kwa njia Moja au njingine vinauwezo wa kutangaza nchi na kuitambukisha kiduniaa. Tuache masihara mji mkuu kukosa television aibu kwa njii
 
Kwani kwa mujibu wa elimu yako, ili mji uwe mji mkuu wa nchi unatakiwa uwe na sifa zipi?
 
Ulishwahi sikia wapi mji mkuu katika nchi hauna redio au TV staition inayoonekana na kusikia nchi nzimaaa. Dewji amjitahidi leo hii singida kuna television ambayo inaweza kuonekana kitaifa au kimataifaaa, halafu tunasema dodoma ni mji mkuu tanzaniaaa. Tuache masiharaaa

Dodoma no mji mkuu na ulipaswa kuwa na sehemu ya vitu ambavyooo vitarndeleza kuutangaza kuwa mji mkuu kimataifaaa. Mfano kuwa television na redio ambazo zinaweza kitangaza matangazo yake moja kwa moja kutoka dodoma.
Vyombo vya habari vinaweza kuweleza mambo kadha wa kadha ambavyo kwa njia Moja au njingine vinauwezo wa kutangaza nchi na kuitambukisha kiduniaa. Tuache masihara mji mkuu kukosa television aibu kwa njii
Nahisi una vigezo vyako umekuja navyo mkononi
 
Nakumbuka vigezo vya mwalimu kimoja ni kuwa Dodoma ni katikati ya Tz so rahisi kufika tokea kona zote za Tz na sasa tuko na trunk roads ni mwendo wa kutililika tuu.
Ayo mengine ni mbwembwe tuu
 
Kidogo nawe ongeza vyakooo
Hvyoooo nilivyowekaaa ndio hvyooo mkuu kwa dodoma yangu na kukingana na interest yangu.yawezekana nawe unayako kulingaa na kile unachokipenda na kufikiriaaa
 
Back
Top Bottom