Hiii mpyaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiii mpyaaaaaaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ney kush, Mar 7, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Mtoto GLADYS wa huko nigeria mwenye umri wa miaka kumi AMEJIFUNGUA mtoto.. Kwa habari zaidi unaweza kugoogle
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  hivi miaka kumi ana nini jamani?
  Si kama ndimu changa isiyo na maji wala mbegu??

  Duh . . .
   
 3. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Watu wakatili nimeshindwa weka picha tu mngejionea
   
 4. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  duh,halafu lazima mimba atakua amepewa na mtu wa karibu na familia,kama si ndugu basi ni jirani.
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
 6. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Miaka kumi yenyewe ndo kajifungua uyo mtoto cms kabeba mimba akiwa na miaka tisa na mienzi kadhaa!!!Kuna mwisho mwingine wa dunia tena zaidi ya huu jamani.
   
 7. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  dah....mwenzangu!!! Nashindwa hata kushangaa ati!
   
 8. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashangaa na nitashangaa sana kama nyinyi mtalishangaa hili.
   
 9. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  binadamu hatulingani na homoni za mwili haziendani na umri tu, kuna factors nyingi sana.
   
 10. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Yu njiani anakuja.. Tuanze kutubu dhambi
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
Loading...