Hii Zhoungtong Climber upgrade ni mwisho wa matatizo, inatembea kama ndege

KingPower

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
1,098
1,745
Aiseee hii chuma kutoka kampuni ya Golden Deer (Newforce) ni hatari

Jana imenivutia Sauli zote DRH na DTF (Scania 95- 310) na sio mara moja kuziburuza

Hii Zhoungtong Climber upgrade ni mwisho wa matatizo inatembea kama ndege

Na kuna pacha wake DMG 618 na DMG 613

Aisee kuingia Mbeya sasa kuna ushindani mkubwa wa SAULI Vs DEER

Naona wanapelekea moto sana njia ya Mbeya usipokuwa kibati hupati abiria
 
Wachina wabishi sana iyo njia tena ubishi umekuja kukolea baada ya sauli kupata jina kubwa huko.

Ila climber daah ni scania la kichina lile
 
Mtoa mada anapromote magari watu waende kwa wingi kupanda
 
Back
Top Bottom