Hii ya Wakuu wa Wilaya Kupewa Ilani ya CCM imekaaje?

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,417
Naona makonda anawaapisha kisha anawa ilani ya chama cha mapinduzi

Ivi hawa ni watumishi wa chama au serikali? Me navyojua watumishi wa serikali wangepewa katiba ya nchi na waape kuilinda sasa mbona wanapewa ilani ya chama?

Attach
37409f08d6ea617f661c268bdceacc7e.jpg
 
Hivi ni kweli? Hivi rais hazioni kasoro hizi za waziwazi? Waziri mkuu yabidi utoe semina elekezi kwa hawa wakuu wako wa mkoa na wilaya vinginevyo ni mahoka haya!
Makonda, hao ni watendaji na waajiriwa wa serkali kuu na siyo makatibu wa ccm. Kuwapa ilani ya ccm ni kuwatuma kuwatumikia wanaccm tu. Hii siyo haki na hsikubaliki. Haijawahi kutokea popote katika historia ya taifa hili tangu ukoloni. Magavana popote duniani hukabidhiwa katiba ya nchi na ilani huikuta kwenye ofisi za chama waendako. Mamlaka husika kemeeni mikurupuko hii kwani hata mkilazimisha kupendwa kwa ccm haiwezekani tena.
 
Shangaa sasa mtumishi wa serikali anapewa ilani ya chama hii iko bongo pekee
 
Kwani hujui kuwa CCM ndio chama Tawala na kinachotekelezwa ni Ilani ya CCM? Watu wengine bana. Kama mataahira vile
mkuu,sio lazima umuite mtu taahira kwa vile amesema kwa uelewa wake.hapa ni forum ya kueleweshana hivyo ungemwambia tu kuwa ma-DC kusimamia ilani ya ccm ni sawa kwa kuwa ndicho chama chenye rais ambaye japo ni rais wa watanzania wote pia anatekeleza ilani ya chama chake.
 
Ilan anapewa mtumishi wa chama husika na sio mtumishi wa serikali ndg! Cheo cha mkuu wa wilaya sio chakichama na mtu yoyote anaweza kuwa sio lazima we wa chama tawala hizi ni nafasi za uteuzi

Ni kama alivyoteuliwa mbunge Mbatia na Kikwete halaf apewe ilan ya CCM??
 
Mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ni wawakilishi au wasaidizi wa rais katika ngazi husika,kwa maneno mengine ndio marais wa maeneo hayo,ndio maana wanamsaidia rais kutekeleza ilani yake aliyoinadi kwa wananchi.
 
Kwani hujui kuwa CCM ndio chama Tawala na kinachotekelezwa ni Ilani ya CCM? Watu wengine bana. Kama mataahira vile
Mara nyingi sikuungi mkono lakini kwa hili umempa vidonge vyake kisawasawa!
 
Hivi ni kweli? Hivi rais hazioni kasoro hizi za waziwazi? Waziri mkuu yabidi utoe semina elekezi kwa hawa wakuu wako wa mkoa na wilaya vinginevyo ni mahoka haya!
Makonda, hao ni watendaji na waajiriwa wa serkali kuu na siyo makatibu wa ccm. Kuwapa ilani ya ccm ni kuwatuma kuwatumikia wanaccm tu. Hii siyo haki na hsikubaliki. Haijawahi kutokea popote katika historia ya taifa hili tangu ukoloni. Magavana popote duniani hukabidhiwa katiba ya nchi na ilani huikuta kwenye ofisi za chama waendako. Mamlaka husika kemeeni mikurupuko hii kwani hata mkilazimisha kupendwa kwa ccm haiwezekani tena.
Dah.... Kuwapa ilani ya ccm ni kuwambia wawatumikie wanaccm tu ? Kweli?

Hivi Magufuli anapotekeleza ilani ya ccm ni kuwatumikia wanaccm pekee?
 
Naona makonda anawaapisha kisha anawa ilani ya chama cha mapinduzi

Ivi hawa ni watumishi wa chama au serikali? Me navyojua watumishi wa serikali wangepewa katiba ya nchi na waape kuilinda sasa mbona wanapewa ilani ya chama?

Attach
37409f08d6ea617f661c268bdceacc7e.jpg
Kiongozi yoyote wa serikali awe anatoka upinzani au chama tawala anapopata nafasi katika utawala anatakiwa asimamie na kuitekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani
Cha kujiuliza hapa ni umuhimu wa hiyo nafasi ya ukuu wa wilaya
Kifupi mkuu kwa huu mfumo ulivyokaa demokrasia ya kweli si rahisi
Ndio maana E.L na akili akasema kikubwa cha kupambania ni katiba mpya (Ya Wananchi)
 
Itafika Mahali mtatuambia mkuu wa Mkoa na wilaya+ Jeshi la wanachi na vingozi na watumishi hadi TRA na KADA ZOTE! wapewe Kadi na Irani za ccm
 
Hivi ni kweli? Hivi rais hazioni kasoro hizi za waziwazi? Waziri mkuu yabidi utoe semina elekezi kwa hawa wakuu wako wa mkoa na wilaya vinginevyo ni mahoka haya!
Makonda, hao ni watendaji na waajiriwa wa serkali kuu na siyo makatibu wa ccm. Kuwapa ilani ya ccm ni kuwatuma kuwatumikia wanaccm tu. Hii siyo haki na hsikubaliki. Haijawahi kutokea popote katika historia ya taifa hili tangu ukoloni. Magavana popote duniani hukabidhiwa katiba ya nchi na ilani huikuta kwenye ofisi za chama waendako. Mamlaka husika kemeeni mikurupuko hii kwani hata mkilazimisha kupendwa kwa ccm haiwezekani tena.

Nadhan ungesikiliza hotuba ya raisi siku wakuu wa wilaya walipokua ikulu usingepata shida. Moja ya majukumu aliyowapa ni kuhakikisha yaliyomo kwenye ilani yanasimamiwa na kutekelezwa. Ilan inayotekelezwa ni ya chama kilichoshinda, kwa hiyo hapo hakuna jipya. Kwa kuweka kumbukumbu sawa mwaka 2010 Mh Magufuli(alipoteuliwa kua waziri wa ujenzi) na Mh. Mwakyembe(alipoteuliwa kua Naibu waziri) wakati wanaenda wizarani kwako mda mfupi baada ya kuapishwa walienda na ilani ya ccm na Mh. Magufuli mwenyewe aliwambia watendaji wakuu waliokuwepo kuipitia vizuri ilani hiyo na kuhakikisha inatekelezwa ndani ya miaka mitano.
 
Naona makonda anawaapisha kisha anawa ilani ya chama cha mapinduzi

Ivi hawa ni watumishi wa chama au serikali? Me navyojua watumishi wa serikali wangepewa katiba ya nchi na waape kuilinda sasa mbona wanapewa ilani ya chama?

Attach
37409f08d6ea617f661c268bdceacc7e.jpg
Si kwa wakuu wa wilaya tu. Hata jeshi la wananchi, polisi, magereza, uhamiaji. Pia watumishi wengine walimu, madaktari, mainjinia, wanafunzi vyuo vikuu wabunge na wananchi kwa ujumla wakulima shambani. wote wanatakiwa kupewa ilani ya uchaguzi ya ccm ili waifanyie kazi katika maeneo yao. Mfano ccm inataka jeshi la wananchi dogo la kisasa na lenye zana bora. Hapa mkuu wa majeshi ataangalia ikama yake kama iko sawa na matakwa ya ilani. na zana ni bora kwa matakwa ya ilani maana ilani inayo landama yake ambayo imefafanua juu ya hilo jeshi dogo ni nini na zana za kisasa ni nini.
Nimalize kwa kusema ni sahihi kwa wakuu wa wilaya na watumishi wote wa umma kuisoma na kielewa ilani ya ccm na kitekeleza katika eneo lao. Zahanati kila kijiji, kituo cha afya kila kata. milioni hamsini kila kijiji na mtaa na elimu bure ni mazao ya ilani na yanatekelezwa na kila mwananchi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom