Hii ya Wakristo wanaoitwa, The Pool of Siloum Church imekaaje? Mwenye kuwaelewa msingi wa imani yao anipe somo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
42,390
49,040
Habari wadau
Kama mada inavyojieleza hapo juu,nashindwa kuelewa fomula mbalimbali za watu ama vikundi vya kikristo vinavyoibuka Kila uchao,hivi biblia inayotumika ni hoo hoo au maana nasilia Hawa hakuna Yesu ila Eliya
Mwenye uelewa na hili dhehebu anisaidie kuwafahamu tafadhari
 
Yani hakuna yesu??wanaamini bado hajaja au hakuna kabisa??kama waisraeli wanavyomuamini musa
 
Moja na Controversial Religious groups ni pamoja na hao..

Wengine ni
Jehova Witness
Mormon
Seventh Day Adventist
Salvation army...

Ukifuatilia vizuri kwenye sources mbalimbali makundi hayo yamekuwa categorized tokea kuanzishwa kwao kama " Cult Chrstians Religions"
 
Kuna wengine wanajiita faraghani.Cult Christian's ndo wakristo wa aje kwa lugha rahisi mkuu?
 
Wanavaa nguo nyeupe, wanakesha kanisani takribani kila siku, kila muumini anaamini ipo siku atamiliki private jet haijalishi hata kama anauza mchicha, kanisa lao lipo katikati ya night clubs mbili maarufu huko kwa wasukuma.

Mwingine aendelee mimi najua hayo machache
 
Yule mwanzilishi wao marehemu Nabii Eliya namfahamu kama Stanley (Mchagga) enzi hizo miaka ya 1988-1992 alikuwwa anaishi Tangi Bovu kwenye kijumba fulani kidogo cha uani yeye na mke wake na alikuwa ni engineer wa Tanesco. I remember him as a humble, very smart dude.
 
Haaa haaa private jet
 
N

Ndo huyo wanaesema alipaa hewan Kama Eliya?
 
Yule mwanzilishi wao marehemu Nabii Eliya namfahamu kama Stanley (Mchagga) enzi hizo miaka ya 1988-1992 alikuwwa anaishi Tangi Bovu kwenye kijumba fulani kidogo cha uani yeye na mke wake na alikuwa ni engineer wa Tanesco. I remember him as a humble, very smart dude.
Alishafariki na alipofariki tulizungumza sana kuhusu hiyo dini. Kumbe alikuwa injinia wa Tanesco na mtu wa kawaida! Ni nini kilimpata mpaka akawa nabii? Uzi wake uko hapa: Mambo machache ya kushangaza kuhusu Nabii Eliya Mungu wa Majeshi - JamiiForums
 
Yule mwanzilishi wao marehemu Nabii Eliya namfahamu kama Stanley (Mchagga) enzi hizo miaka ya 1988-1992 alikuwwa anaishi Tangi Bovu kwenye kijumba fulani kidogo cha uani yeye na mke wake na alikuwa ni engineer wa Tanesco. I remember him as a humble, very smart dude.
kumbe halijaanza muda mrefu!!
 
Back
Top Bottom