Hii Ya tsh 20 000 Kwa Kadi Zanzibar Imekaaje?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Ili upate kadi baada ya kupata chanjo inabidi uilipie shilingi 20,000

Hivi mchakato wa hiyo alfu ishirini ulifanyika wapi?ni gharama za kadi au uchapishaji?

Majuzi tulisikia bill gates akisema watakaochanjwa marekani wapewe dola mia kila mmoja! sisi huku tunatakiwa kulipia kadi!

Tuiombe serikali yetu kuzingati pia hali ya maisha yetu wananchi bado ngumu ...hizi tozo zinazidi kutukandamiza jamani hebu liangaliwe hili.Hivi hakuna uwezekano hiyo kadi mwananchi akaipata angalau kwa Shilingi 3000?

Tuombe gharama hiyo ishuke ikizingatiwa hata chanjo hizi tunapewa bure katika harakati za kupamban na janga hili kubwa,
Ikumbuke Dunia nzima inapitia katika kipindi kigum mno sote tupigane vita moja Tanzania bara na visiwani!
 
Watanywea chai...

Na kujaza hesabu za uongo kwamba wananchi wengi wameitikia chanjo..
 
Ili upate kadi baada ya kupata chanjo inabidi uilipie shilingi 20,000

Hivi mchakato wa hiyo alfu ishirini ulifanyika wapi?ni gharama za kadi au uchapishaji?

Majuzi tulisikia bill gates akisema watakaochanjwa marekani wapewe dola mia kila mmoja! sisi huku tunatakiwa kulipia kadi!

Tuiombe serikali yetu kuzingati pia hali ya maisha yetu wananchi bado ngumu ...hizi tozo zinazidi kutukandamiza jamani hebu liangaliwe hili.Hivi hakuna uwezekano hiyo kadi mwananchi akaipata angalau kwa Shilingi 3000?

Tuombe gharama hiyo ishuke ikizingatiwa hata chanjo hizi tunapewa bure katika harakati za kupamban na janga hili kubwa,
Ikumbuke Dunia nzima inapitia katika kipindi kigum mno sote tupigane vita moja Tanzania bara na visiwani!
Tena inatakiwa waongeze iwe 200k
 
Inatakikana tozo. Kama vipi hata chanjo walitaka tozo. Walitaka tozo.

Chukua Chako Mapema (CCM)

Maisha ya watu? Watajijua wenyewe!
 
Back
Top Bottom