Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Matukio mengine ni ya bahati mbaya, attention yetu imekuwa kubwa kwa sababu alikuwepo DR Slaa. Hali halisi ya kisiasa nchini hivi sasa inachangia kukazia msimamo wetu lakini pengine halikuwa tukio la kumlenga Dk. Slaa. Jambo la msingi kama kweli jambo hilo limetokea na kulitolea taarifa jeshi la Polisi tunaamini, wananchi watahabarishwa kuhusu tukio hilo.