Hii ya leo kali.... nani anamfahamu huyu mama.

Ingekuwa ni kati ya Palm beach na posta ningekwambia ni Rabia mwehu wa Upanga..Lakini huko siko kaka...

Hivi yule Rabia bado Yupo....! Alinipiga bao la uso nilipokuwa mtoto sitosahau.... maana hadi damu zilitoka puani nilipita karibu yake na sikumstukia kama alikuwa kichaa first time kukutana nae na alikuwa ananuka
 
Kaka huyu alikuwa akikutemea mate unamdunda kisawasawa, mpaka siku nyingine akikuona anabadilisha njia na uzuri wake ilikuwa ukimdunda hakusahau....

Kumpigia kichaa?...wewe utakua kichaa zaidi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hamjui mtaji mjini maneno!!

piga porojo ule sometimes!
Baba V kawa mkimya kalipa 500, mama wa watu kalipa 30% of baba v.
 
Last edited by a moderator:
Hivi yule Rabia bado Yupo....! Alinipiga bao la uso nilipokuwa mtoto sitosahau.... maana hadi damu zilitoka puani nilipita karibu yake na sikumstukia kama alikuwa kichaa first time kukutana nae na alikuwa ananuka

Hakuwahi kukutemea mate? Maana alikuwa hodari sana wa kuyatema. Mi nshakoswa koswa na mate yake mara kadhaa.

Ila uchi wake keshanifunulia....yuck! I was a bad kid.
 
Ah haaa huyo mama ndo zake nshawai panda daladala nikamkuta anaongea Sana na huwa halipi nauli Kama tapeli Fulani vile
 
Hakuwahi kukutemea mate? Maana alikuwa hodari sana wa kuyatema. Mi nshakoswa koswa na mate yake mara kadhaa.

Ila uchi wake keshanifunulia....yuck! I was a bad kid.
Sikuwahi mpitia karibu tena after ile soo ila kuna siku nipo karibu na Kiduka Shop kwa Mzee Taibali nilikuwa nanunua Nangatai kabla hajahamisha duka lale kutoka home kwake alipita karibu nikaondoka ila kuna madogo wa Shule ya Muhimbili walibakia mmoja akatemewa...

lol Uchi wake uliuona mimi niliona Chupi lake siku moja tu... Wewe pengine ulikuwa unaka mitaa ile Pengine kuanzia kwa Ndossi hadi kwa Kina Karega...
 
Hivi Rabia Chaaaaf bado yupo yule?

Alikuwa anapenda sindano kila mara anaenda Muhimbili wamchome sindano

Duh... huyo alikuwa mtambo kweli... eti anaenda Muhimbili akachome sindano kisa anazipenda...! dah
 
Huyo mama anaogopa operesheni kimbunga ndio maana kayahifadhi majina ya viongozi ili na yeye aonekane no mtanzanistan.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom