Hii ya leo kali.... nani anamfahamu huyu mama.

Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,498
Likes
213
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,498 213 160
E bwana Mwenyekiti wenu nimepanda li basi la UDA natoka kwangu kwa Gude nawahi zangu kibaruani. Si kapanda mama mmoja wa kihindi.... anatiririka maneno huyo balaa. Akianza kutaja viongozi anakutajia wa awamu zote kuanzia ma IGP,RC,DC, ma jaji, mahakimu toka bara na visiwani. Sitaki kusema ni chizi maana anaongea mengi ambayo hata mimi siyajui sema tu ndo vile hana mpangilio.. Kashukia TAZARA kalipa 150/=..yaani I have experienced the difference.
 
Queen Kan

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
3,417
Likes
4,131
Points
280
Queen Kan

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
3,417 4,131 280
Duuuh! Kweli hyo kali, atakua gaidi huyo
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,463
Likes
4,909
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,463 4,909 280
duh...leo mwenyekiti hukulipa nauli pia...?
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,498
Likes
213
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,498 213 160
duh...leo mwenyekiti hukulipa nauli pia...?
Leo nimelipa aisee, tena jero japo ilitakiwa nilipe miasita. nilivyompa buku akawa hana mia nne kanirudishia jero..
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,108
Likes
4,981
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,108 4,981 280
hahaha maneno yote hayo halafu anajifanya hajui bei ya nauli
 
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
6,862
Likes
1,134
Points
280
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
6,862 1,134 280
Konda alikuwa na ujanja basi? alikuwa anaombea ashuke haraka..
Ingekuwa ni kati ya Palm beach na posta ningekwambia ni Rabia mwehu wa Upanga..Lakini huko siko kaka...
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,463
Likes
4,909
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,463 4,909 280
Leo nimelipa aisee, tena jero japo ilitakiwa nilipe miasita. nilivyompa buku akawa hana mia nne kanirudishia jero..
bado ufisadi huo mwenyekiti.....
 
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
6,862
Likes
1,134
Points
280
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
6,862 1,134 280
huyu bado yupo......ashanitemea mate huyu simsahau khaaaaa
Kaka huyu alikuwa akikutemea mate unamdunda kisawasawa, mpaka siku nyingine akikuona anabadilisha njia na uzuri wake ilikuwa ukimdunda hakusahau....
 
bysange

bysange

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
4,418
Likes
99
Points
145
bysange

bysange

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
4,418 99 145
E bwana Mwenyekiti wenu nimepanda li basi la UDA natoka kwangu kwa Gude nawahi zangu kibaruani. Si kapanda mama mmoja wa kihindi.... anatiririka maneno huyo balaa. Akianza kutaja viongozi anakutajia wa awamu zote kuanzia ma IGP,RC,DC, ma jaji, mahakimu toka bara na visiwani. Sitaki kusema ni chizi maana anaongea mengi ambayo hata mimi siyajui sema tu ndo vile hana mpangilio.. Kashukia TAZARA kalipa 150/=..yaani I have experienced the difference.
mwenyekiti bila shaka huyu ni mama mabadiliko...changamoto kwa wapenda mabadiliko
 
Forum statistics

Threads 1,214,088
Members 462,499
Posts 28,500,588