Hii ya leo imenisikitisha sana! Hivi wanaume tukoje jamani?

“ Au, je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wafiraji au walawiti, wanyang’anyi, wachoyo, walevi, wenye kusengenya, walaghai, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu” (1Wakorinto 1:9).

Una maana hata Bible tuiedit? tunakaribisha maoni.
na hiyo ndo injili kama ilivyoandikwa na sokomoko
 
Hii ya moto moto kutoka Clouds. Mwanaume mmoja huko Shinyanga amefumaniwa (tena ndani ya chumba chake na mamsapu) akila uroda na house girl wao. Imekuja kujulikana huwa anamla takribani miezi 6 sasa - house girl wamekaa naye zaidi ya miaka 2 sasa.

Wife alivyotaka kujua kwanini jamaa anamla huyo house girl, jamaa akadai eti house girl anaweza kuruka ukuta wakati yeye wife hataki.

Hivyo kama anataka aendelee naye basi naye akubali kuruka ukuta (sasa sijui atakaa nao wote wawili au ...). Mama wa watu amejiondokea, ameacha hapo watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana 4.

Leo ni mwezi wa pili jamaa anaendelea kufurahia tigo ya house girl. Kinachonisikitisha na kunishangaza, yaani tumefikia hatua hii jamani? kusema kweli mimi kama mwanaume nimejisikia kuumia sana moyoni mwangu! kwanini tunawa-treat hivi hawa viumbe? Nawasilisha jamani.

Hapa shetani ameshika hatamu kwa huyo mume,huwa natetea sana kuheshimu na kutunza ndoa lakini hapo..........mama na aondoke ila ningemshauri awachukue watoto wake kwani huyo mume hana maadili ya kulea kama afanyalo ameona ni sahihi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom