We ulitaja Wahaya wasali kwa Lugha gani? Mbona Wazungu wanasali kwa kizungu hujaleta hoja humu.KKKT Bukoba wameIndua kitabu cha kwaya na kusali kwa lugha ya kihaya. Je, inakubalika ? Je, waumini wasiojua kihaya watakaokwenda kusali hali itakuwaje? Je, kwa ujumla haoo tunasonga mbele au tunarudi nyuma?
Mbona sisi huko Biirabo toka tukiwa wadogo tunasali kihaya na hata kitabu cha nyimbo na liturjia cha kihaya kipo!KKKT Bukoba wameIndua kitabu cha kwaya na kusali kwa lugha ya kihaya. Je, inakubalika ? Je, waumini wasiojua kihaya watakaokwenda kusali hali itakuwaje? Je, kwa ujumla haoo tunasonga mbele au tunarudi nyuma?
Kaimbe na kusali kikwenu
Hata kule kwetu Kilimanjaro ibada zinaenda kichaga kwenye litrugia na huko vijijini kuna watu hawajui kiswahili vizuri unachoshangaaa ni kitu ghani.KKKT Bukoba wameIndua kitabu cha kwaya na kusali kwa lugha ya kihaya. Je, inakubalika ? Je, waumini wasiojua kihaya watakaokwenda kusali hali itakuwaje? Je, kwa ujumla haoo tunasonga mbele au tunarudi nyuma?
Huyu mshamba tu mbona kingereza anakiona cha maana chake hicho umasikini wa fikra mbaya sanaHayo mambo ya kawaida sana huko kaskazini. Biblia inatafsiriwa kwa lugha zote na watu wanasali kwa lugha zao. Nimeshaona Biblia za Kichaga na nyumbani ninayo ya Kinyakyusa.
Sisi Mungu wetu sio kabila fulani kwamba asielewe lugha ije kutulazimu kujifunza lugha gani sijui.
Siasa zimeharibu ubongo wakoni vizuri wakajitenga na ni bora wawe na nchi yao maana serikali ya Tanzania haiwathamini hadi kudhurumiwa pesa za wahanga bukoba kwangu ni bora wawe na nchi yao tu.
swissme