Hii ya kugawa fedha kuvunja makundi -ubungo imekaaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ya kugawa fedha kuvunja makundi -ubungo imekaaje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nyange, Oct 8, 2010.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160


  TUNAELEKEA WAPI?
  Jana nilikutana na kada wa ccm, akanitambia kwamba, Tayari tumepokea (kuramba) shs 30,000 kila mwanachama wa ccm aliye hudhuria mkutano wa jk wa kumaliza makundi, Blue peal Hotel- Ubungo kwa jimbo la kinondoni!
  Hili limenishutua muno baada ya kuona mgombea mwenyewe anatoa rushwa. sijui pesa zimetoka wapi?

  Ndugu wale wanao jiandaa kuchagua ccm, jiulizeni, mnaipigia ccm ninayo ifahamu mimi ile aliyo iongoza Nyeree au mnapigia wezi wa fedha za nchi? wasio jail nchi. Hivi kweli JK kugawa fedha kwa huo mkutano wa Blue peal Ubungo si imedhihirika kuwa hajui anacho fanya?

  JAMANI NAWAOMBA WATANZANIA MSIKOSEE KUCHAGUA HIKI CHAMA MAKE KUGAWA FEDHA INADHIHIRIKA KUWA KUNA NIA MBAYA YA KUANGAMIZA TAIFA NA KUBAKI MASIKINI. MWENYE SIKIO NA ASIKIE.
  KURA YAKO ITAONESHA KUWA WANAO NA WAJUKUU HAWATAINONA ELIMU UKIKIPIGIA CCM MAKE PESA AMBAYO INGETUMIKA KULIPIA WATOTO WETU NDIYO INATUMIKA KUHONGA WAPIGA KURA.
  MI NAONA GIZA CCM IKISHINDA.

  HEBU ANGALIA KATUNI HII, PESA NDIKO ZINAKO TOKA ZA KUGAWIA WANA CCM.


  jamii.JPG
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,247
  Trophy Points: 280
  Usijali hao waliokula hizo hela na ndugu zao wa karibu wachache tu ndiyo wataipigia CCM kura wengineo wote Chadema:-

   
 3. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hizo pesa zinatoka wapi? Wakati wafanyakazi wa serikali wanadai malimbikizo lukuki? Huu ni ujambazi kabisa?
   
 4. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Yaani, we acha tu, kila mwenye fikra ajiulize kama wajukuu wetu elimu wataiona kwa mtindo huu hawa jamaa wakirudi madarakani. It is SAD
   
 5. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Very sad, lakini mwisho wake october 31. Watanzania naombeni tuonyeshe kazi ili hata muumba atupe moyo wa ujasiri bila kuogopa risasi wala virungu.
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  kila lenye mwanzo lina mwisho sasa dalili zinaonyesha kabisa ccm inaishia pabaya
   
 7. Nostradamus

  Nostradamus JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nilikutana na kada wa ccm, akanitambia kwamba, Tayari tumepokea (kuramba) shs 30,000 kila mwanachama wa ccm aliye hudhuria mkutano wa jk wa kumaliza makundi, Blue peal Hotel- Ubungo kwa jimbo la kinondoni!
  [Hili limenishutua muno baada ya kuona mgombea mwenyewe anatoa rushwa. sijui pesa zimetoka wapi Ndugu wale wanao jiandaa kuchagua ccm, jiulizeni, mnaipigia ccm ninayo ifahamu mimi ile aliyo iongoza Nyeree au mnapigia wezi wa fedha za nchi? wasio jail nchi. Hivi kweli JK kugawa fedha kwa huo mkutano wa Blue peal Ubungo si imedhihirika kuwa hajui anacho fanya? JAMANI NAWAOMBA WATANZANIA MSIKOSEE KUCHAGUA HIKI CHAMA MAKE KUGAWA FEDHA INADHIHIRIKA KUWA KUNA NIA MBAYA YA KUANGAMIZA TAIFA NA KUBAKI MASIKINI. MWENYE SIKIO NA ASIKIE.KURA YAKO ITAONESHA KUWA WANAO NA WAJUKUU HAWATAINONA ELIMU UKIKIPIGIA CCM MAKE PESA AMBAYO INGETUMIKA KULIPIA WATOTO WETU NDIYO INATUMIKA KUHONGA WAPIGA KURA.
  MI NAONA GIZA CCM IKISHINDA.

  wala usijali kuhusu makundi ya CCM, yale makundi yenu ndani ya CHADEMA yaLiyotokea kipindi cha uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA hivi yaliishaje? na je majina yaliyopitishwa ya wabunge wa viti maalum mbona hayatangazwi????? na je wajua vigezo vilivyotumia kupata hayo majina???? udini na ukabila vitaiangamiza CHADEMA lakini hatutakubali viangamize taifa
  TOA BORITI LINALOKUANGAMIZA JICHONI MWAKO, ACHANA NA KIJITI KILICHO JICHONI MWA JIRANI YAKO.
   
 8. Nostradamus

  Nostradamus JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  '''''''BILA KUOGOPA RISASI WALA VIRUNGU'''''''
  Kuwa wazi mzee what are you planning to do?????
  THANKS A LOT MAANA MNADHIHIRISHA NINYI NI WATU WA AINA GANI.
  Kinachonichekesha ni kwamba, mtapewa ruhusa ya kufuatilia kila hatua ya kuhesabu kura(no doubt), halafu matokeo yake hamtaamini na mtavunjika nguvu. nawahakikishia hamtaibiwa kura na mtashindwa kwa fedheha kubwa.
  hebu jiulizeni,,, wako wapi wafuasi wa CCM mpaka mubaki peke yenu kuongea na kusikika???
  LOL,, WENZENU WANAKUSANYA NGUVU NA KUJIPANGA ili wote100% waende kupiga kura wakiwa strong as ever. ninyi wapayukaji mtakuwa mmeshachoka by that time
   
 9. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Bora kuna mwelekeo mzuri wa kupata uongozi bila kutoa pesa. Hivi ccm ina maduka gani ya kutumia faida kugawa hizo pesa?
   
 10. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuiunga mkono CCM ni usaliti na udhalimu kwa ubinadamu
   
 11. m

  mwanafyale JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Du, jamani tuwe wa tunaongea bila ushabiki.
  Nafikiri kujadili pesa wanazopewa watu kwenye vikao vya ndani ya Chama kwamba ni rushwa si haki.
  Tungeiita rushwa kama ingekuwa ni kwenye kampeni au ni kikao kinachohusisha watu wa nje,yaani ambao si wanachama.
  Kwa mawazo yangu hiyo naiona kama sitting allowance,mbona CHADEMA kwenye vikao vya ndani watu wanalipwa posho,je ni rushwa?
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  What if it was a sitting allowance for the kikao?

  Have looked into this differently.

  Kafanye research yako kwanza kabla ya kubandika hapa:hand:!!
   
 13. m

  mwanafyale JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kweli NYUNYU,huyu bwana naona amekurupuka.
   
 14. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  CHAMA GANI KIMESHATANGAZA HAYO MAJINA YA vITI MAALUMU,?
   
 15. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  kikao chenye posho kina majina, kutafuta watu wanaodhaniwa kupinga uteuzi na kuwapa fedha hiyo ni kuwahonga. hata hivo hakuna jina la kikao hicho. ni watu wakikusanywa tu wanao dhaniwa wanapinga uteuzi ili kulainishwa
   
 16. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Usikurupuke na kutoa upupu, mi ni muelewa ninaye jua kuwa hiki ni kikao nahiki si kikao bali ni kampeni. walio husika kwenye kikao ni watu kutoa maeneo mbalimblai wanao pinga uteuzi wa aliye pitishwa. si wajumbe maalum au wawakilishi bali ni watu wenye influence na aliye shindwa. Sasa kudai kuwa ni posho! hii ni aibu. Posho zinaendana na mpangilio wa vikao na wadau, na si kutafuta baadhi ya watu na kuwamiminia fedha huku ukidai ni posho. Hivi we huwezi kutofautisha kati ya posho na rushwa!

  Kweli wajinga ndio waliwao
   
 17. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Aliye kurupuka ni yule anayeshindwa kutofautisha posho na rushwa. Yaani hujui kuwa si kila mkusanyiko , au kikao lazima kiwe na malipo? ndo maana mnashindwa kujua kuwa fedha ambazo zingeingia kwenye miradi, zinalipa upuuzi huu!
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  tatizo wanaJF ni wasiri mno kama nini vile
  hizi habari zinapaswa kupelekwa nyikani na kuwasha nyasi kavu na matokeo mtayaona
   
 19. m

  mwanafyale JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145

  unaweza ukadhibitisha kama kile kikao hakikuwa na orodha ya waliohudhuria?
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  haishangazi mkuu

  tulikua huko tangu before... its just getting worse
   
Loading...