Hii ya kufungua Club ya dini imekaaje wakuu?

Kwa
wakristo Yesu alikuja kuokoa wenye dhambi ambao ni mimi, wewe, na huyo
Kapiga.....haijalishi ni dhambi ya aina gani.....kama unamuona ndugu,
rafiki, jirani ameanguka dhambini ongea naye kwa upendo na muombee bila kukoma ili aiache dhambi......usihukumu ili nawe usikukumiwe.......hiyo ni club tu anayependa aende asiependa asiende....so far jamaa hajavunja sheria ya nchi!
 
Mhh...hiyo club lazima tuwe tunakwenda. Tutakutana na wapendwa wenzetu hatutaki shari.
 
Napinga kwa nguvu zote... huo ni ujinga na upuzi usio na maana bkoz c kila kinachofanywa na mataifa na wana wa mungu wafanye
 
Back
Top Bottom