Innocenthezron
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 393
- 469
Wakuu kuna baadhi ya shule naomba nizitaje kama st getrude, herritage, lonica na nyingine kibao za binafsi nimeshuhudia wanafunzi wakifukuzwa na kuambiwa wakatafute shule nyingine kwa maana hawawezi kuendelea na kidato cha nne kisa hawajafikia wastani uliowekwa
Me kwa upande wangu naona sio halali kabisa kufanya hivi kama mtu aliweza kufaulu kidato cha pili ushindwe kumpa nafasi ya kumaliza masomo yake??
Kama mtu huwez kuwa katika nafasi ya juu kwa kuwa na wanafunzi pure tuuu maana ndicho wanachokifanya wanatoa wote wasio na uwezo na kuwabakisha wenye uwezo ili tu shule yake i pop up katika matokeo kitu ambacho cdhan ka ni kizuri
Karibuni kwa mawazo wakuu