mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
Aisee hii kitu naona inatrend, kila mtu mastaa , matajiri, watafuta maisha kila nikipita huku na kule wanakushawishi ukadownload application zao.
Sasa mi sielewi mtanzania ana application gani ya kumfanya atusumbue kudownload huku wakijua fika MB ni gharama sana. Na je hizo spplication zao zina value yaani ata ukimuuzia mchina leo au mzungu wa canada itamnufaisha kama sisi tunavonufaika ya apps za nje. Sio unanunua apps mara unakuta ni udaku tu ooh sijui Jokate Afumwa na mbunge wa CCM.
Najua mnataka utajiri, feza basi ongezeni ubunifu