Hii ya DC wa Igunga kuwasaka walanguzi wa sukari mitaani akiwa na migambo imenikumbusha vita vya Kagera

Nani aliwapa amri ya kusaka wauza sukari wa bei isiyoelekezi?
Jibu ni mkuu wa wilaya,akiwa na kamati ya ulinzi na usalama.Ambayo ina mshauri wa mgambo,mkuu wa polisi wilaya(OCD),mkuu wa idara ya uhamiaji wilaya,mkuu wa magereza wilaya,afisa usalama wa wilaya(DSO),na mkuu wa takukuru wilaya.
 
Jibu ni mkuu wa wilaya.
 
Tunahangaika kulinda viwanda vya ndani ambavyo havilindiki? Watu gani hawa kila wakati ni full excuses tu?

Tena zile zile mwaka kwa mwaka... Ubovu wa mitambo, sijui malighafi!!!! kwa nini tutese mamilioni ya Watanzania kwa Maelf?

Leo nimezunguka na elf 10 sijapata hata robo. Ajabu hapo Zanzibar kilo moja ni sh 2,000 na ipo tele.
Jiwe alikurupuka kama alivyokurupuka kwenye biashara ya korosho. Na hakuna wa kumshauri vinginevyo
 
Tatizo lako wewe ni chuki. Sukari limekuwa ni tatizo la muda mrefu wala sio kwenye utawa wa JPM tu. Umesahau kwa nini Marehemu Iddi Simba alijiuzuru sababu ya nini? Kwa ufupi awamu zote kumekuwa na tatizo ambalo linatakiwa kushughulikiwa. Alafu unafanya makosa kumuita mkuu wa nchi kibwengo. Acha lugha za kipuuzi.
Mithali 26:4 Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye....
 
Ila wenye hekima humfahamu mpumbavu.
Mpumbavu hajijui kama yeye ni mpumbavu ila wengine wote ndiyo wanamjua. Rudi kwenye post zako kwenye thread zote nenda ukaone jinsi watu wanavyokunanga ndiyo uyajuwa kuwa MPUMBAVU ni wewe. Halafu pitia post zangu ukaone madini yanavyoteremka na likes ninazopata.
 
Ahaaaaaaa. WanaCdm wanananga au hawataki ukweli.
 
Mpumbavu hajijui kama yeye ni mpumbavu ila wengine wote ndiyo wanamjua. Rudi kwenye post zako kwenye thread zote nenda ukaone jinsi watu wanavyokunanga ndiyo uyajuwa kuwa MPUMBAVU ni wewe. Halafu pitia post zangu ukaone madini yanavyoteremka na likes ninazopata.
Kumtukana Rais kumbe ni madini? Hongera sana
 
Kwani siku hizi malawi haizalishi sukari kama zamani?kama tatizo ni kufungwa kwa mipaka basi wao walete mpaka mpakani waweke kisha madereva wa bongo wapokelee mpakani tatizo liko wapi kwanini kukimbizana na bei elekezi wakati unaweza kushusha automatic kwa kuongeza supply
 
Kiukweli hili swala la uhaba wa sukari kama litaendelea tutashuhudia mengi.

Nimemwona Mkuu wa wilaya ya Igunga mh Mwaipopo kupitia Star tv akiwa na lundo la askari polisi waliochanganyika na JW pamoja na migambo wakisaka walanguzi wa sukari mitaani.
Kumbe hii nayo ni vita kama ile ya Corona.

Hakika nimekumbuka madhara ya vita vya Kagera miaka ya 80, walanguzi walisakwa na migambo baada ya miaka 40 msako umeongezewa nguvu kwa kuwajumuisha askari polisi na JW.

Maendeleo hayana vyama!
Waambie wasiongozane wengi kuna corona
 
Hii awamu imefeli kwenye masuala mengi ikiwemo hili la sukari.
 
Back
Top Bottom