Hii ya dar es slaam imekaaje

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,430
1,681
Nimeshangaa stand kubwa ya magari ya kwenda mkoani jiji la Dar kukosa sehemu ya watu kukaa kiasi cha abiria kungoja usafiri huku wamesimama.
20180922_130613.jpg
20180922_130828.jpg
20180922_131737.jpg
 
Mawakala wa tigopesa unawauliza mambo ya ujenzi! Wapi na wapi?

Chanzo cha taarifa yako kina mashiko sana kwenye huu uchunguzi wako.

Nenda pata taarifa mahala sahihi.
hao wamekaa kwenye hii stand more than 5 years, huo ujenzi haulamiliki au ni extended. Fanyeni marejebisho
 
Back
Top Bottom