Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,385
3,894
CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama

Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM

nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara

CCM inaamini kwenye mfumo imara kwa ajili ya maendeleo endelevu ya nchi yetu
 
Hizo ni jitihada za kusisiemisha nchi.

Tanzania inaweza kuwa Tanzania bora bila hiyo Sisiem inayo pigiwa upatu hapa.

Na haiwezi kuwa ni maajabu ya karne kuwa na Tanzania bora bila Sisiemu.
 
Kila wanachofanya CCM ni kwa manufaa yake na wanachama wake. Mwongozo mpya ni mtu mmoja kofia moja.

Hasa kwa nafasi za watendaji wa muda wote kama makatibu na wenezi.
 
CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama

Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM

nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara

CCM inaamini kwenye mfumo imara kwa ajili ya maendeleo endelevu ya nchi yetu
Chama cha mapinduzi ccm kinategemea dola ili kiweze khaki madarakani.
Chama hiki kinakuwa na ghiriba nyingi hasa wakati wa uchaguzi. Uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2019 ni funzo kwamba chama hiki hakijiwezi.
Yaliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu hapo 2021 ni kielelezo kingine cha haramu ya chama hiki. Kwamba wasimamizi wanaingia na kura zilizopigwa tayar?
Asante mungu kwa kutenda maajabu yako
 
Mifumo imara bado Sana, ndio kwanza juhudi zimeanza upya kuirejesha ile iliyokuwepo ama iliyoharibiwa, kazi bado kubwa Sana sii ndani ya chama tu , hata na kwingineko.
 
Chama cha mapinduzi ccm kinategemea dola ili kiweze khaki madarakani.
Chama hiki kinakuwa na ghiriba nyingi hasa wakati wa uchaguzi. Uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2019 ni funzo kwamba chama hiki hakijiwezi.
Yaliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu hapo 2021 ni kielelezo kingine cha haramu ya chama hiki. Kwamba wasimamizi wanaingia na kura zilizopigwa tayar?
Asante mungu kwa kutenda maajabu yako
Bashiru alisema wazi lakini yeye kashindwa kutumia dola kubaki kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
 
Back
Top Bottom