Hii ya Bunge letu na ajali za kushtukizi imekaaje..

Dawa ni kuwamaliza wanaoratibu hizo hajali.Tuwatafute na tuanzishe genge la kuwamaliza wao pia.Mimi nilikuwa naishi Brazili ,nitakuja kuwapa mkakati jinsi ya kuwamaliza hao wanaowamaliza wenzao.ni rahisi sana sanaaaaaaaaaa.
 
yani Regia ni mwezi disemba mwaka jana alituletea tathmini ya nini amefanya akiwa kama mbunge kichama na kijamii. Kumbe ndo alikuwa anatuaga. Kweli ni huzuni kubwa. Mungu akurehemu dada Regia. RIP
Baada ya kumaliza kazi aliyotumwa Na Mungu, ndio alikua akihitimisha report yake ili arudi zake.
mia.
 
JF
Inavyoonekana hapa hakuna mkono wa mtu kwa sababu marehemu Regia was the Driver? Hapa napata tatizo huu uhuria wa kufanya kazi ya udereva Kama Mchezo. Right or wrong udereva ni profession Kama nyingine yeyote. Kwa utafiti wangu sababu kubwa ya hizi ajali ni kwamba siku hizi kila mtu ni dereva na it is an open secret kwamba asilimia 80% ya madereva waliopo Barabarani Tanzania wamenunua leseni zao na hawaijui highway code. This is broad subject . Kwa kifupi wabunge wanapewa mikopo ya kununua gari sina uhakika na kiasi wanachopewa kwani mimi sio mdaku ila pesa hazipungui dola laki moja( Usd 100,000) hakuna usimamizi wa kwamba wananunua magari mapya asilimia 90 huishia kununua mitumba. Then madereva wanaokota tu mtaani au wanaendesha wenyewe ili kula pesa wanazopewa za kulipa dereva. Mawaziri wanaendeshwa na professional drivers kwa nini tusianze nidhamu kwa kuanzia na Wabunge. Kwa vile ni viongozi then Bunge linunue magari mapya na kuajiri proffesional drivers kwa hiyo miaka mitano ya ubunge.Kama alivyofanya Lowasa aliponunua magari 1990 kwa
wabunge wote of course nasikia alijipatia asilimia 20% Kama commission and actually ndipo milango ya kula Rushwa kwa EL ilipofunguliwa! Kabla ya hapo he was clean Kama anabisha aje jamvini!:A S 465:
 
hapa kuna mkono wa mtu @ajali anayoipata kiongozi wa watu huwa anakufa peke yake kulikoni mbona watawala wa wananchi wao wasipatwe na hizi ajali mafisadi wanahusika hapa uchunguzi huru ufanywe .R.I.P Regia
 
hii ni balaa. bado sipati picha hadi sasa hivi juu ya hiki kifo.
 
Nani aliwaambia kuwa wabunge wataishi milele? Yaani akifa mbunge basi mkono wa mtu. Watu wangapi wanakufa huku uraiani kila siku?
 
Back
Top Bottom