Hii ya Amri Kiemba imekaaje?

PrN-kazi

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
2,900
444
....inasemekana Amri Kiemba amesaini Yanga, tayari kwa kutumikia timu hiyo msimu ujao. inakuaje Simba wanaachia wachezaji muhimu wote kuondoka ndani ya kikosi!!!!, Amri Kiemba ni mchezaji mwenye nidhamu ya hali ya juu sana na anaheshimu kazi yake kwa kiasi chochote ambacho alikua anaitaji angepatiwa tu,
kama ni kweli; Binafsi naona haijakaa sawa, kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya benchi la ufundi la Simba. Sijui wadau ili linawagusaje aisee.
 
Kama anapata maslahi mazuri kuliko yale angeyapata Simba acha aende, viongozi wetu wa Simba wamezidi ubabaishaji, haiwezekani kila siku faulo wafanyiwe wao tu, kwa nini wao wasifanye hata kidogo.
 
Jamaa alikua anataka 22m,wao Simba wakamwambia tunakupa 14m!!but ngoja nifatilie chamani ntakuja kuwajuza.
Pia kaseja kaambiwa kwamba kutokana na umri wake sasa watampa m10 ili asajiri lakini yeye anataka 25m,yuko njiani kwenda cost union!
 
Kaseja nasikia anaelekea Azam. Anyway yote Heri!, inawezekana labda Simba tumeamua kufuata nyayo za Wenger za kufufua vipaji: ila sijui kama hii inakaa vizuri kwa soka letu la kibongo.
 
Kama anapata maslahi mazuri kuliko yale angeyapata Simba acha aende, viongozi wetu wa Simba wamezidi ubabaishaji, haiwezekani kila siku faulo wafanyiwe wao tu, kwa nini wao wasifanye hata kidogo.
namimi ainingii akilini kwakweli; ni udhaifu mkubwa unaoonyeshwa na viongozi wa Club.
 
  • Thanks
Reactions: mrk
Simba kwa sasa Hakuna pesa ndio maanaa wanapata shida kwenye usajili
 
....inasemekana Amri Kiemba amesaini Yanga, tayari kwa kutumikia timu hiyo msimu ujao. inakuaje Simba wanaachia wachezaji muhimu wote kuondoka ndani ya kikosi!!!!, Amri Kiemba ni mchezaji mwenye nidhamu ya hali ya juu sana na anaheshimu kazi yake kwa kiasi chochote ambacho alikua anaitaji angepatiwa tu,
kama ni kweli; Binafsi naona haijakaa sawa, kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya benchi la ufundi la Simba. Sijui wadau ili linawagusaje aisee.

Confirmed!!!!!
Baada ya kuona Hamisi Kiiza anazikataa million35 wakaamua kumalizana na Kiemba siku ya tar 23may kabla ya kwenda Morocco.
Kwa kifupi ni kweli Kiemba kasaini Yanga na pengine siku mbili hizi akatambulishwa kwa wanajangwani!!!!!
 
AMRI KIEMBA Simba ni kama jiwe kuu la pembeni lakini ambalo halionekani, ana maslahi madogo sana kinyume cha mchango wake, hata akipandishiwa bado hautaswihi, Simba hawathamni mchezji wakiwa naye hadi anaondoka, kumbuka ya Yondani...............ama badu nikiwa simba fan and member namtakia kila la heri kama ni kweli maana magazeti nayo hupandisha madau ya wachezaji lakini namkumbusha ni hao Yanga walimtema akaonekana tambara bovu leo hii amerudia matapishi yake? haya AK kwaheri bhana utakumbukwa daima hapa Simba na jinsi ulivyocheza chini ya Kiwango katika mchezo wa mwisho na mtani
 
Confirmed!!!!!
Baada ya kuona Hamisi Kiiza anazikataa million35 wakaamua kumalizana na Kiemba siku ya tar 23may kabla ya kwenda Morocco.
Kwa kifupi ni kweli Kiemba kasaini Yanga na pengine siku mbili hizi akatambulishwa kwa wanajangwani!!!!!
kila la heri..ganda la mua la jana chungu kaona kivuno
 
Kama anapata maslahi mazuri kuliko yale angeyapata Simba acha aende, viongozi wetu wa Simba wamezidi ubabaishaji, haiwezekani kila siku faulo wafanyiwe wao tu, kwa nini wao wasifanye hata kidogo.
mambo yamekuwa kinyume simba ndio walikua wanaonekana watu wa mpira sasa hivi wanapigwa bao tu, ilianza kwa Mbuyu, Ngasssa, Shabani Kondo na ss Kiemba, huenda hatimaye na Oloya wakapigwa bao maana nimeona magazetini leo
 
Jamaa alikua anataka 22m,wao Simba wakamwambia tunakupa 14m!!but ngoja nifatilie chamani ntakuja kuwajuza.
Pia kaseja kaambiwa kwamba kutokana na umri wake sasa watampa m10 ili asajiri lakini yeye anataka 25m,yuko njiani kwenda cost union!
DUH, Simba mpya sasa lakn Kaseja muhimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom