Hii wiki haitoisha bila serikali kufunga shule na vyuo vyote nchini

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Wale wazazi wenye watoto wanaosoma mbali na nyumbani (Hostel) jiandae vyema kutunza nauli za wanenu muda wowote toka sasa mnaweza kusikia tamko serikari imefunga vyuo na shule zote za msingi na secondary ili watoto warejee majumbani.

Mjiandae kujiwekea akiba kwa sababu ya nauli zao,na ikiwezekana muwatumie kabisa wanenu kama dharura lolote likitokea wawe tayari kwa safari.

NB: Tupo kwenye mpambano kama Taifa kila mtu ajilinde na amlinde jirani yake,ukijisikia dalili yeyote inayoshabiana na ugonjwa huu wa Corona. Toa taarifa mapema ili upatiwe huduma.

Wale tuliokula miguu ya kuku kama mimi tusiotulia mahala pamoja tujitaidi sana wakati huu tujizuie sana kutoka pasipo na sababu ya msingi. Kila mmoja ana Nafasi kubwa ya kupata ugonjwa huu.

Iwe mtoto, mkubwa na ata mzee wote tupo kwenye chain cha muhimu ni kutoa Elimu na kukumbushana kila inapobidi.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgonjwa mwenyewe mmoja tu kelele nyiiingi....mimi nadhani watu watulie kwanza...ugonjwa huu ulianza tangu december...
Kinga zetu zipo vizuri na hali ya hewa vinatubeba si hatari kihiiiivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wazazi wenye watoto wanaosoma mbali na nyumbani (Hostel) jiandae vyema kutunza nauli za wanenu muda wowote toka sasa mnaweza kusikia tamko serikari imefunga vyuo na shule zote za msingi na secondary ili watoto warejee majumbani.

Mjiandae kujiwekea akiba kwa sababu ya nauli zao,na ikiwezekana muwatumie kabisa wanenu kama dharura lolote likitokea wawe tayari kwa safari.

NB: Tupo kwenye mpambano kama Taifa kila mtu ajilinde na amlinde jirani yake,ukijisikia dalili yeyote inayoshabiana na ugonjwa huu wa Corona. Toa taarifa mapema ili upatiwe huduma.

Wale tuliokula miguu ya kuku kama mimi tusiotulia mahala pamoja tujitaidi sana wakati huu tujizuie sana kutoka pasipo na sababu ya msingi. Kila mmoja ana Nafasi kubwa ya kupata ugonjwa huu.

Iwe mtoto, mkubwa na ata mzee wote tupo kwenye chain cha muhimu ni kutoa Elimu na kukumbushana kila inapobidi.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mzazi mwanao anadaiwa ada ya miezi mitatu sasa

Umesomeka vzr mkuu.
 
Leteni hapa hiko chanzo cha hiyo habari tuone wote
Chanzo icho hapo mkuu
IMG_20200317_165641_742.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom