Hii vita kule twitter sio ya mchezo, Nashauri huyu bosi wa ASSAS aombe radhi tuu

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,538
1,752
Picha 1
mkurugenzi wa assas alisema kama vipi mama (Mh. Samia Suluhu) awe anaongea kila siku kabla ya kwenda kazi, huyu jamaa (mKigoma) kamjibu mkuregenzi kwa kumkumbushia enzi za JPM kuwa “huyu ni wewe” ? alivyo kuwa ana msifia.

Picha ya 2
mkurugenzi ka mind kaenda kufukunyua sms za jamaa alimtumia miaka 2 akimuomba kazi ya kutangaza bidhaa za assas, sasa wadau wa Twitter wamemjia juu mkurugenzi kwa nini katoa sms na namba ya simu ya jamaa hadharani.

Picha ya 3
kule Twitter kuna kampeni ya kukataa maziwa ya assas na kutangaza ya Tanga fresh.

IMG_7269.jpg

Bosi Kajibu

IMG_7270.jpg

Kilichofuata sasa ni boycott ya ASSAS products na kuipa kiki tanga fresh

IMG_7268.jpg
 
sijakuelewa nini kilitoke mpaka tanga fresh kingia, boycott, assa alifanya kosa gani katika mazungumzo hyo etc

Picha 1
mkurugenzi wa assas alisema kama vipi mama (Mh. Samia Suluhu) awe anaongea kila siku kabla ya kwenda kazi, huyu jamaa (mKigoma) kamjibu mkuregenzi kwa kumkumbushia enzi za JPM kuwa “huyu ni wewe” ? alivyo kuwa ana msifia.

Picha ya 2
mkurugenzi ka mind kaenda kufukunyua sms za jamaa alimtumia miaka 2 akimuomba kazi ya kutangaza bidhaa za assas, sasa wadau wa Twitter wamemjia juu mkurugenzi kwa nini katoa sms na namba ya simu ya jamaa hadharani.

Picha ya 3
kule Twitter kuna kampeni ya kukataa maziwa ya assas na kutangaza ya Tanga fresh.

Usipoelewa tena nakuzingua
 
Sasa kwanini haya maelezo usiyaweke juu hapo?

#YNWA
 
View attachment 1746305

Bosi Kajibu

View attachment 1746306

Kilichofuata sasa ni boycott ya assas products na kuipa kiki tanga fresh

View attachment 1746307
asante sana nimekupata vema. kweli asusiwe hakupashwa kutoa inbox communications. Stupid kabisa. Huku tanga mimaziwa yke haiji nisingeliinunua shenzi kabisa
 
Kwani twiter ndio inakunywa maziwa, acheni mambo ya kingese, mambo binafsi ya ntu na ntu unataka Taifa zima tuingilie ugomvi. Shit...
Hapa napata Yogat saaafi ya Assas kwa 2500/= mambo yenu ya kike KIKE pelekeni huko twita na FB.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom