Wa-QUOTE na ndugu zako wote mliokuwa mnamsagia kunguni muwakilishi wetu pekee nchini Diamond Platnum aondolewe ktk nomination tuzo za BETDiamond can dance, he was born to entertain.
Hawa apaTxc ndio nani... Ni msanii?
Kuna mahali kwenye huo wimbo umeombwa uupende?Kwani ni lazima niupende?
Kwani Kati ya diamond na Kiba yupo mwenye viewers wengi?King Kiba yuko anamfundisha maana ya views huko mjini YouTube 🤣🤸🐒
King Kiba🐒Kwani Kati ya diamond na Kiba yupo mwenye viewers wengi?
Tutazipima kwa kuangalia mwendelezo wa viewers wa ngoma zao zitaishia na viewers wangapi at the end hapa ndio tutajua yupi Mwamba