Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

Mlolongo

JF-Expert Member
Jul 4, 2019
3,269
5,888
Hivi mshikaji hela anazo invest kwenye videos zake zinarudigi kweli?

Mfano kwenye inama, Waah!! Unaona kabisa hapa hela ilotumika si ya kitoto...

Video ya IYO ndio balaa, kwanza kuna scenes karibu 30 mule, kuanzia wanafunzi darasani, magodoro, club, wadada wawili, masela wawili, mavazi, dancers, location, logistics zote.

Halafu sikutegemea director akawa Hanscana!

Wasanii wengine wanafeli wapi..

 
Back
Top Bottom