Hii video ya IYO, inadhihirisha kiasi gani Diamond Platnumz yupo serious kwenye investment ya music videos!

ivan1212

JF-Expert Member
Mar 4, 2019
347
1,000
Txc ndio nani... Ni msanii?
Hawa apa
IMG_20210731_122030.jpg
 

zopinyoti

Member
Dec 8, 2019
12
45
Hahahah unajua maana ya scene wewe eti scene 30...imekuwa movie hiyo........pia elewa kwenye music videos ambazo hazija base kwenye maigizo yani ni kuparty tu kama Iyo......huwa zinaaitwa set sio scene
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,906
2,000
Japo si kweli kwamba video ni ya gharama sana ila ni kali.

Jamaa kwenye video haniangushagi hata siku moja, toka katoka huyu jamaa video hazingui, anafikiria sana kabla ya kuachia chupa, unaweza usiipende audio ila video ikakukalisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom