Hii Video ya French Montana ya unforgettable mbona ipo kama kigodoro

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,178
Baada ya kuiangalia hii video kwa mda mrefu nimeona leo nitoe dukuduku langu moyoni, hii video hadi sasa imefikisha views millioni 750 youtube, wameishoot Uganda uswazi kabisa

Yaani ukiiangalia unaweza sema singeli lakini nimegundua kuwa wamarekani wanaupenda mziki wao na ni macreative sana,, hapa bongo Diamond angetoa video kama hiyo watu wangemponda sana lakini kumbe sanaa ni ubunifu
 
Tatizo "Uvaaji uhusika" na "Maudhui ya wimbo".
 
Back
Top Bottom