Hii video inayosambaa mitandaoni kuhusu Corona Moshi ni ya kweli?

Bella Ciao, Mkuu mgeni yoyote aliyetoka nchi zenye maambukizi akiingia nchini lazima awekwe karantin kwa siku kumi na nne,asipoonesha dalili ndo ataachiwa
Sio kweli. TZ hawajaanza kufanya hivi. Hata huko kwingine ambapo wameanzisha huu utaratibu huu (mfano Uganda...) hawatarget wageni kutoka kila Nchi iliyoreport wagonjwa. Wamecategorize Nchi and so far kuna Nchi kama 7 tu zipo category number 1 (highest ridk)
 
Ok,ila huku morogoro kwenye camp ya yapi merkez kuna mchina kawekwa kantini for two week,then asipoonesha signs ataachiwa
Sio kweli. TZ hawajaanza kufanya hivi. Hata huko kwingine ambapo wameanzisha huu utaratibu huu (mfano Uganda...) hawatarget wageni kutoka kila Nchi iliyoreport wagonjwa. Wamecategorize Nchi and so far kuna Nchi kama 7 tu zipo category number 1 (highest ridk)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakuwa tunaambiwa hakuna mgonjwa wa corona hata kama yupo ili tuonekane tanzania ni nchi pekee duniani haijapata corona. Hata watu wakiteketea wao wataendelea kusema hakuna ugonjwa kama vile hospital ya uloganzila watu wakipelekwa siku mbili kaaga watu wamelalamika tunaambiwa hakuna kitu hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom