TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,911
- 23,073
Ni kweli hilo ndilo lilikuwa lengo lako.Mada yangu haihusiani na kwamba GDP ni kipimo cha maendeleo ya nchi au la,mada yangu inahusiana na serekali ya Tanzania kudanganya katika utoaji wa data za GDPs.Wao kila mwaka hukomaa na ukuaji wa asilimia 7 kitu ambacho ni uongo.
====
Mkuu, unaona ni sawa kuendelea kutumia kipimo cha GDP mbali na mapungufu yote haya yaliyoonyeshwa !?
Mkuu, kwa nini uone shida, umma wa JF, Tanzania na ulimwengu kujuzwa habari za ubovu wa kipimo cha GDP!?