Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Kingereza siyo lugha yetu makosa kama kawaida tu 😂😂😂Kizungu kinatupa shida, na mimi nikiwemo. Kwa hiyo, siwezi kumlaumu ndugu yangu huyu. Hata hivyo, naomba utusaidie kuturekebisha kila upatapo wasaa ili nasi tuwe bora katika kuwasilisha mawazo yetu kwa lugha ya kiingereza.
Natanguliza shukrani.