Hii Tweet ya Mo Dewji mbona inanipa mashaka makubwa!

Ujinga Ni Kuhukum Maneno Ya Mtu Wakati Huna Uhakika Wa Alicho Kimaanisha.
Moyo Wa Mtu Una Siri Kubwa Sana Ambayo Ni Ngumu Sana Kwa Mtu Mungine Kujua Kilicho Jificha Ndani Yake.
#Wapi Kamtaja Marehemu??
 
Hapo anawasema wanasiasa hususani Chadema na mtu wao Chadema Mdude...

Kwamba zile kelele za Wanasiasa ulikuwa kama mtaji wao wa kisiasa, yaani walikuwa wanapata umaarufu kupitia yeye.
Upo sawa kbs idawa
 
Mo ana wenge baada ya kuona msiba wa Mengi umefunika bila promotion, ukilinganisha na ule msiba wa Bukoba ambao ulijaa sifa za uwongo.
Mwingine anamsifia marehemu kuwa alimfundisha kutembea mitaani peku ili afahamike
Hhahahaaa
 
Sio vilema. NI watu wenye ulemavu
Kwa nini mnapenda sana kunyanyapaa maneno?
Eti kipofu anaitwa asiyeona... kiziwi anaitwa asiyesikia...zeruzeru anaitwa mwenyeulemavu wa ngozi... mwizi anaitwa mtuhumiwa wa wizi nk nk.
Kupindisha maneno ndiyo chanzo cha unyanyapaa.
 
Mo ana wenge baada ya kuona msiba wa Mengi umefunika bila promotion, ukilinganisha na ule msiba wa Bukoba ambao ulijaa sifa za uwongo.
Mwingine anamsifia marehemu kuwa alimfundisha kutembea mitaani peku ili afahamike
Hahahaaaa!
 
Back
Top Bottom