King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 671
Kwa hiyo mbwa akiwa na mimba tuseme kabeba furushi badala ya mimba sababu yeye ni Mbwa?
hahahahhahahahhaaaaa
Kwa hiyo mbwa akiwa na mimba tuseme kabeba furushi badala ya mimba sababu yeye ni Mbwa?
Ndiyo ilikuwa ndagu ya jamaa...samahan lakn kama nitakukwaza...ni ukweli tu mchunguDr. Mengi aliwasidia Vilema, Maalbino, Wazee n.k hao alifaidika nao nini?.
Hana mtu wa kumdai fidia ya shilingi moja tena. Mwenzake hasikiki tena, Yanga yetu.Huyo jamaa toka atekwe naona hazijakaa sawa
Hata marafiki zake hawaamini tena
Kuna Mgombea wa urais anafuata afterthat atakuja Mchungaji fulani tapeli
list Ni kubwa mnoooo
HAKUNA MAHALI nimetaja mgonjwa.Mbona unataja wagonjwa Tu?
Si kila anayeumwa atakufa na si kila aliyekufa aliumwa!!
Upo sawa kbs idawaHapo anawasema wanasiasa hususani Chadema na mtu wao Chadema Mdude...
Kwamba zile kelele za Wanasiasa ulikuwa kama mtaji wao wa kisiasa, yaani walikuwa wanapata umaarufu kupitia yeye.
Basi wasiojulikana wakamteke TenaHuyu jamaa, najishangaa kwanini nilimhuzunikia pale alipotekwa.
View attachment 1090694
Japo Comment ya kwanza ya utani lakini inastajabisha then ukipima na kipindi chenyewe hiki..!!
Alafu sijamuona pale sebureni..! Kwani walikuwa na tatizo?
HhahahaaaMo ana wenge baada ya kuona msiba wa Mengi umefunika bila promotion, ukilinganisha na ule msiba wa Bukoba ambao ulijaa sifa za uwongo.
Mwingine anamsifia marehemu kuwa alimfundisha kutembea mitaani peku ili afahamike
NYOTA ZAO, NDUGU KUNA UCHAFU MWINGI NYUMA YA HAWA MATAJIRI/MADONI WA MJINI.MENGI HAJAFA KIFO CHA KAWAIDA.NA ILIKUWA LAZIMA IWE HIVYO.
Mengine Ni sababu TU.
View attachment 1090694
Japo Comment ya kwanza ya utani lakini inastajabisha then ukipima na kipindi chenyewe hiki..!!
Alafu sijamuona pale sebureni..! Kwani walikuwa na tatizo?
Misamaha ya kodi ni uwezekano mmoja wapo.Dr. Mengi aliwasidia Vilema, Maalbino, Wazee n.k hao alifaidika nao nini?.
Kwa nini mnapenda sana kunyanyapaa maneno?Sio vilema. NI watu wenye ulemavu
Hahahaaaa!Mo ana wenge baada ya kuona msiba wa Mengi umefunika bila promotion, ukilinganisha na ule msiba wa Bukoba ambao ulijaa sifa za uwongo.
Mwingine anamsifia marehemu kuwa alimfundisha kutembea mitaani peku ili afahamike