Hii TV show ya Bachelorette ya Mnet ni reality au?

dmaujanja1

JF-Expert Member
Nov 24, 2008
223
68
Kuna kitu kinanitatiza ktk Tv show ya Mnet. Kipind kinaitwa Bachelorette. Kuna kina kaka wanafight kwaajili ya kumpata binti (waoane). Before sikutake hii kitu siriaz lakini juzi kati kuna washiriki walitolewa wakawa wanamajonzi sana kinachonishangaza zaidi washiriki wote ni watu wanaprofeshen zao na wote wanafanya naye Romance huyo mdada.
Je wakubwa hii show ni reality au? Je Wazungu akili zao ni timamu au Umaarufu tu.
 
Mi sijaiona, lakini obviously itakuwa na ukweli.
Ni mwendelezo tu wa vituko vya hawa jamaa wazungu, tena mzee usiiitangaze hii mambo kwa watu, maana wabongo wataianzisha fasta , kama zilivyo Big Brother na Maisha Plus!
Kama wanakuwa wamepima ngoma acha wamlambe denda huyo mdada, lakini nna imani hata atakayempata atakuwa na shida sana , maana wale waliotolewa wataendelea kumbipbip maisha yote.
 
Plz japo inaonekana inaelekea kuisha,maana wamebaki washiriki kama nane hivi pata nafasi ijumaa ukiangalie hiki kiping real Sodoma imekaribia kama ile ndiyo njia ya kupata wife hii kitu hatari
 
Can U explain japo kidogo the background of it. Inaonekana uanijua hii kitu. Je atakayeshinda atakuwa amepata Mpenz wa kweli?
Au ile marriage niya mkataba?

That's the whole point..sema ufisadi upo kila kona so hata hapo unatokea.Inaweza kufika mwisho akamchagua mtu alafu huyo mtu akamtolea nje...au yeye akawatolea wote nje!Ila wakikubaliana wanaendelea mpaka hapo watakapoishia..kama ni kwenye ndoa au kuachana baadae wanajua wao!
 
Back
Top Bottom