free freed
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 239
- 139
Wengine pia huamini mwanamke ni muaminifu sana kazini kwake
Wewe 'unaoa' lini dear?Nini kifanyike???!!!... ni wanaume wanaojiona wapo chini wakaze buti kupanda.
Ni kwa sababu wanaune hawa wekwi pale customer care au Front office Tangazo likitoka linasema kabisa tunahitaj mdada aged flan mpaka flan kwa ajila ya customer care au team ya mauzoNafikiri uko nje ya Mada samahani labda sijakuelewa ulichomaanisha lkn hapa naongelea matokeo na siyo chanzo, hivyo iwe wanapata kwa chupi au ala lkn ukweli ni kwamba hizo kazi zinazolipa vizuri wao (wanawake) ndiyo wanazipata na hivyo kuwapa kipato kikubwa klk Wanaume hali inayopelekea wao pmj na Wanaume kuwa na wkt mgumu kupata mwenza ndicho nilichomaanisha!
Ndo maana hatuendelei kwa misimamo kama yako ya ubinafsi....Eish! Asa kama wanawake wanakuja juu...mimi mwanaume inanihusu kivipi...kama mimi nina ela zangu na maisha yangu..nayo enjoy....., hao wanawake wakiwa juu inani affect vipi....
Hahahah Mada nyingine bana... mtoa mada...its obvious we ni mwanafunzi...soma..fanya kazi kwa bidii ...jitume, achana na kuleta vita ya jinsia., sikuwaza kama kuna mtu anaweza kuumizwa kichwa na ishu kama hii. hahahah
Eish! Asa kama wanawake wanakuja juu...mimi mwanaume inanihusu kivipi...kama mimi nina ela zangu na maisha yangu..nayo enjoy....., hao wanawake wakiwa juu inani affect vipi....
Hahahah Mada nyingine bana... mtoa mada...its obvious we ni mwanafunzi...soma..fanya kazi kwa bidii ...jitume, achana na kuleta vita ya jinsia., sikuwaza kama kuna mtu anaweza kuumizwa kichwa na ishu kama hii. hahahah
Wewe 'unaoa' lini dear?
Nimejaribu kufanya utafiti wangu binafsi na nimegundua kwamba sasa hivi TZ na hasa mji wetu wa Dar na kwingineko, Wanawake wako mbele sana kimaendelo klk Wanaume, hapa siongelei namba kiujumla bali naongelea trend, kazi nyingi zinazolipa vizuri leo hii hapa Dar wadada ndiyo wanazipata, jaribu tu kutembelea ofisi ambazo zinalipa vizuri kuanzia mabenki, Kampuni za Simu au hata NGO's utaona wadada kwa kweli ni wengi sana!
Sasa hii ni hatari kwa ustawi wa jamii yetu, tayari kuna vijana wengi leo hii wanalalamika hawapati wenza, yaani imekuwa ngumu sana kwa maana ikumbukwe kwamba Wanawake siku zote na hii ni Dunia nzima huchagua Mwanaume ambaye labda yuko naye sawa au ambaye yuko juu yake hasa kwenye kipato, Elimu n.k na jinsi mambo yanavyoonekna huko mbele hali itakuwa ngumu zaidi kwani ukienda vyuoni Wasichana ni wengi zaidi wanaosoma klk Wanaume hivyo tunahatari ya kuwa jamii ambayo Wanawake wana uwezo klk wanaume na hivyo hii kuathiri jamii yetu, nini kifanyike?
Ni swali gumu sana kwa maana siyo kosa la Wanawake hali kuwa hivyo kwani ni juhudi zao wenyewe na sasa wanakaribia kushika usukani wa nchi!
Sina jibu lkn ukweli ndiyo huwo!
usishindane na mwanamke hizo elimu wengine wanapata kichupi chupi na kazi anapata kichupi chupi
kwa njia hiyo hiyo waliopata ndio inatoa picha ya jamii ipi hao WAMAMA wanaenda kutuzalia/kutuleteaNafikiri uko nje ya Mada samahani labda sijakuelewa ulichomaanisha lkn hapa naongelea matokeo na siyo chanzo, hivyo iwe wanapata kwa chupi au ala lkn ukweli ni kwamba hizo kazi zinazolipa vizuri wao (wanawake) ndiyo wanazipata na hivyo kuwapa kipato kikubwa klk Wanaume hali inayopelekea wao pmj na Wanaume kuwa na wkt mgumu kupata mwenza ndicho nilichomaanisha!
Sure mkuu na wakishapagawa na shape za Matako hahTatizo ni kuwa waajiri wengi huamini mwanamke ni mchapa kazi kuliko mwanaume.